Mwenye jibu nampa zawadi

Mwenye jibu nampa zawadi

MWENYE JIBU NAMPA ZAWADI YA VOCHA 1000 TIGO

Nilenda bar siku ya fainali ya kombe la dunia kuangalia mechi ya CROATIA NA UFARANSA,baada ya kukaa kwenye kiti akaja dada muhudumu na akasema kiingilio ni soda na soda wanauza 600 ,kwa bahati mbaya mfukoni nilikuwa na 500 kwahyo nikamuomba nimpe mia tano halafu asinipe soda ,akakubali nikampa na akaondoka.

Baada ya nusu saa akaja mkaka akajitamburisha yeye kuwa ni meneja wa bar na akauliza mbona huna kinywaji nikamuelezea ilivyokuwa ,akasema hawa wajanja sana na akanipa 100 akasema muite mpe hii 100 akuletee soda yako.

JE MENEJA ALIPATAJE FAIDA KWA HILI?

ANGALIZO:mie sina jibu ila nitaangalia tu mwenye jibu lenye ushawishi tu nitamtumia hyo vocha hapo chini kama zawadi.
nafikili mwenye bar hakutaka faida kwa muda ule bali alitaka kuakikisha vinyaji vinaisha na alipata faida ni mhudumu wa bar
 
Faida kubwa aliyoipata meneja ni kukufanya uikumbuke biashara yake na uungwana akiwa kazini.
Alifanya vile hili uwe mteja wake wa siku zijazo.
Pia hakutaka uondoke ukiwa haujapta huduma za kukuridhisha kwa kupungukiwa na kitu kidigo.
 
MWENYE JIBU NAMPA ZAWADI YA VOCHA 1000 TIGO

Nilenda bar siku ya fainali ya kombe la dunia kuangalia mechi ya CROATIA NA UFARANSA,baada ya kukaa kwenye kiti akaja dada muhudumu na akasema kiingilio ni soda na soda wanauza 600 ,kwa bahati mbaya mfukoni nilikuwa na 500 kwahyo nikamuomba nimpe mia tano halafu asinipe soda ,akakubali nikampa na akaondoka.

Baada ya nusu saa akaja mkaka akajitamburisha yeye kuwa ni meneja wa bar na akauliza mbona huna kinywaji nikamuelezea ilivyokuwa ,akasema hawa wajanja sana na akanipa 100 akasema muite mpe hii 100 akuletee soda yako.

JE MENEJA ALIPATAJE FAIDA KWA HILI?

ANGALIZO:mie sina jibu ila nitaangalia tu mwenye jibu lenye ushawishi tu nitamtumia hyo vocha hapo chini kama zawadi.

Faida aliyopata huyo meneja ni thawabu toka kwa Mungu kwa kukuonea huruma wewe na kukuongezea hiyo 100 uliyokosa kwani alijuwa ugonjwa wako ni upi.
 
Wale mliokua mnapasua kwenye mathematics kaz kwenu
 
meneja hakupata hasara sababu 600 yote ilirudi kwake

sitaki vocha
 
MWENYE JIBU NAMPA ZAWADI YA VOCHA 1000 TIGO

Nilenda bar siku ya fainali ya kombe la dunia kuangalia mechi ya CROATIA NA UFARANSA,baada ya kukaa kwenye kiti akaja dada muhudumu na akasema kiingilio ni soda na soda wanauza 600 ,kwa bahati mbaya mfukoni nilikuwa na 500 kwahyo nikamuomba nimpe mia tano halafu asinipe soda ,akakubali nikampa na akaondoka.

Baada ya nusu saa akaja mkaka akajitamburisha yeye kuwa ni meneja wa bar na akauliza mbona huna kinywaji nikamuelezea ilivyokuwa ,akasema hawa wajanja sana na akanipa 100 akasema muite mpe hii 100 akuletee soda yako.

JE MENEJA ALIPATAJE FAIDA KWA HILI?

ANGALIZO:mie sina jibu ila nitaangalia tu mwenye jibu lenye ushawishi tu nitamtumia hyo vocha hapo chini kama zawadi.
#1 Meneja ni too clever na aliyekuhudumia nni unfortunate.
#2 Faida aloipata meneja ni faida ya kawaida ya siku zote anayopata na kuonyesha mpira ni kama kivutio cha wateja, 2 in 1
#3 muhudumu imekula kwake kozi alijua kapata ka vocha lakini meneja akasema hataaa..nakataaa akaongeza mia ili jero isipotee na atimize kusudio LA huduma.
#4 Implication yake ni kwamba hakuna free lunch, ukiona umekula ujue kuna mahali umeliwa.
 
Meneja ana roho mbaya na yupo tayari kuingia hasara ili mtu mwingine asipate hela. Kwakifupi wote walipoteza ila meneja aliingia hasara ya hiyo 100 aliyotoa mfukoni kwake na yule dada alipoteza hiyo 500 na kama alikuwa ameshatumia kwa kujua ameipata bure hapo ndo inakula kwake
Hili ndio jibu mkuu
 
Acha ungese wewe unataka kupoteza watu humu, mmeshindwa kukamata watu humu JF sasa mnatumia njia za kifala mtupate, mpate namba za simu kisha mtupoteze Pumbavu zenu na Huyo Mbuzi anayewatuma.
hahahaha

nomah
 
Alipata faida kwa kuwa bei ya ile soda ni sh 500(faida ipo tayari) wameweka 600 kwa sababu ya mpira ili wapate faida zaidi. hivyo alivyokupa ile 100 wewe ukatoa 500 ataenda kuchukua 100 yake na bado kutakufa na faida kwenye 500 yako(bei ya kawaida).
mkuu " shikamoo
 
mwanaume wa dar unatembea na jero mfukoni? sasa ikitokea dharura ndo unafanyaje kwamfano?
 
Meneja ameresort kwenye marketing strategy, faida yake hapo ni ya long term zaidi kuliko ya siku hiyo moja.

Uwezekano wa mteja kurudi tena hapo tena akiwa na wenzake ni mkubwa kuliko angemtaka kuondoka.
hahaaaa tangu " uongezewe damu na ule mchepuko wako wa masaki " basi akili zako " zimekuwa na urafiki na akili za Ellen musk "" siku sio nyingi utaanza kubuni mabomu wewe ""

Palantir. huyu jamaa " amepewa kitengo na NASA nini ''? hahaaa
 
Kanambia kuna chimbo umemdirect!.. Tusaidiane tu na me nilipate.
 
Back
Top Bottom