Methyl phenol
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 184
- 283
Dah umekaza sana bro cjakupataa!!Mwenye huruma hua hafanikiwi.hukuona jiwe anakwapua pesa za korosho??au ulikua nje ya nchi kimasomo
BalaaKatika huu ulimwengu wa sasa ukiwa mwema sana watu watakutumia tu kwa maslahi yao binafsi tu. Unaweza kujikuta matatizoni kwa huruma yako.
True Story kuna jirani yangu ni dereva bodaboda alishawahi jikuta matatizoni kwa huruma yake. Alikua anatoka asubuhi kuelekea kijiweni akaona mwanafunzi akampa lift, bahati mbaya akapata ajali njiani wote wakaumia. Alipitia katika kipindi kigumu kutokana na varangati wazazi wa yule mtoto waliomletea.
Aaah sure aseeNadhani hata kwenye mahusiano. Ukiwa na huruma na ubinaadamu sana, hasa kama wewe ni -me, utaponyokwa au kukataliwa kila wakati, watasema, AMEPOA SANA.
Ukiwa katili, mfumo dume, ngumi mkononi, kubwa kuliko vyote, ukiwa MTEMBEZA mkia maarufu, basi watajipanga foleni na kupigana watapigana, HAKUNA gono, ngoma wala mimba.
Mstaarabu moja akijaribu tu, kila kitu kinasoma.
MzilankendeMwenye huruma hua hafanikiwi.hukuona jiwe anakwapua pesa za korosho??au ulikua nje ya nchi kimasomo
[emoji3061][emoji3061]Msemo wa uongo achana nao.
Jamaa unazinguaMwenye huruma hua hafanikiwi.hukuona jiwe anakwapua pesa za korosho??au ulikua nje ya nchi kimasomo