Mkuu hii kazi ya udreva wa malori ni tofauti na biashara za duka!!hapa mtu hafanyi biashara ndani ya biashara ila yeye anapewa mafuta kulingana na umbali/kuna kiasi kwa ajiri ya rivasi huko kote na uendeshaji wake ndio anapopata mafuta hayo mnayodhania ni ya wizi!!Ujue hili hamuwezi kulielewa kama hujawahahi kuajiri mtu,
Mtu kaomba kazi mmekubaliana malipo alafu baadae aibe aseme ela ndogo? Si angesema haimlipi atafute kazi sehemu nyingine!
Yaani ni sawa unamuweka kijana dukani kwako unampangia bei yeye akiuza juu ya bei anaweka mfukoni kwake hiyo sii sawa, yaani ni sawa na mtu anafanya biashara ndani ya biashara yako wakati mshahara unamlipa na wewe una gharama nyingine nyingi tuu, acheni kutetea wizi.
Kwa hiyo boss akikupa gari anakuambia kabisa yakibaki uzaaaMkuu hii kazi ya udreva wa malori ni tofauti na biashara za duka!!hapa mtu hafanyi biashara ndani ya biashara ila yeye anapewa mafuta kulingana na umbali/kuna kiasi kwa ajiri ya rivasi huko kote na uendeshaji wake ndio anapopata mafuta hayo mnayodhania ni ya wizi!!
Linatoke morombo mkuu?Semitrela kama ndivyo liitwavyo nimeliona maeneo ya Uswahilini hapa Arusha likinyonywa mafuta na Dereva na Tandiboi wake wakiyatia kwenye dumu la lita 20 hv na kijana mmoja kuondoka nalo..
Nimepiga picha kinamna namna majizi yasinishtukie. Hapa natumia browser nashindwa kuyaweka
kichwa T 176 ARS
Tela T 348 DES
Wizi huu wa mafuta upo kila kona. Unaendelea polisi wanaona. Serikali yetu ina hasira sana na wenye magari kwa kudhani wanaishi kama malaika. Bila shaka ni nia yao waishi kama mashetani.
Kama polisi kazi yao ni kulinda raia na mali zao ni vipi wizi huu wa mafuta kwenye malori umeshika mizizi kiasi hiki? Ina maana polisi hawawaoni wezi hawa wa mafuta barabarani?
Majibu ya humu yanaonesha ni jinsi gani tunasafari ndefu!kwa comments hizi ndiyo utawajua watanzania na issue ya uzalendo kwa nchi yao....
yawezrkana dereva ndo wenye gariWatu wengine bwana ni sumu!!mimi nilidhania labda ni gari la serikali kuwa ni kodi zetu,sasa mtu binafsi je kama posho za safari wanazopewa hazikidhi!!na kwa magari hayo makubwa mtu anapewa mafuta kulingana na umbali wa safari yake!!madam aende na kurudi?!!je kama mwenyewe anajua jinsi ya kuendesha na kubana mafuta tatizo liko wapi??
We mwache akazane kunyoa za makwapani na chini ya kitovu kumbe ndio anaondoa akili.Ulivyoambiwa akili ni nywele wewe ulijuwa ni za wapi!