Mwenye hili gari anaibiwa mafuta hapa Arusha

Mwenye hili gari anaibiwa mafuta hapa Arusha

Semitrela kama ndivyo liitwavyo nimeliona maeneo ya Uswahilini hapa Arusha likinyonywa mafuta na Dereva na Tandiboi wake wakiyatia kwenye dumu la lita 20 hv na kijana mmoja kuondoka nalo..
Nimepiga picha kinamna namna majizi yasinishtukie. Hapa natumia browser nashindwa kuyaweka

kichwa T 176 ARS
Tela T 348 DES

Huuu ndo Umbea wenyewe,
..
Wanaume Wamama bana
[emoji125][emoji125]
 
Hakuna mtu mwenye haki ya kuiba.

Endapo umebakiza mafuta Rudisha kwa Bosi.

Nimepata hisia za ingekuwa ni gari yangu nimeikuta hapo ingekuwaje.

Mliotukana hapo juu mimi si mjuzi wa matusi ila
Ndugu yangu GENTAMYCINE akirudi atanisaidia kuwajibu ngumbaru ninyi popoma mliotukuka.
 
Wizi huu wa mafuta upo kila kona. Unaendelea polisi wanaona. Serikali yetu ina hasira sana na wenye magari kwa kudhani wanaishi kama malaika. Bila shaka ni nia yao waishi kama mashetani.

Kama polisi kazi yao ni kulinda raia na mali zao ni vipi wizi huu wa mafuta kwenye malori umeshika mizizi kiasi hiki? Ina maana polisi hawawaoni wezi hawa wa mafuta barabarani?
 
dereva na kidebe ni damdam bila kidebe kazi ya udereva ni ngumu sana piga huwa watu lazima wapige chuwa. elewa hakuna dereva asie piga chuwa wanatofautiana tu dereva bila kidebe heri ukae nyumbani tu
 
Acha unoko unajua kama kapewa maileji? watu hujiongeza kulingana na kipato.ukimwalibia kazi unapata nini? umeniboa pum @#$v na ulaaniwe
 
Acha ujinga kaa tumbili wa kike.
Unajua tajiri anawalipa bei gani ?
Ukimuona mama yako anatongozwa utamuambia baba yako ? Kwataarifa yako hilo lori ni langu na mimi ndio niliwatuma wafaulishe hayo mafuta kwa ajili ya Fuso langu mtaa wa pili.
 
Mambo kama haya basi kuna jamaa toka mtaa flani lazima washangilie sana maana ndio tabia zao.
Unamaana mtaa wa Lumumba? kule ambako wabunge wao wanalazimisha rushwa kwa wakurugenzi lakini DPP anasema sina mpango wa kuendelea na kesi kisha watuhumiwa wanavaa ninja bungeni halafu wanateuliwa kusimamia wizara inayopambana na rushwa?
 
Semitrela kama ndivyo liitwavyo nimeliona maeneo ya Uswahilini hapa Arusha likinyonywa mafuta na Dereva na Tandiboi wake wakiyatia kwenye dumu la lita 20 hv na kijana mmoja kuondoka nalo..
Nimepiga picha kinamna namna majizi yasinishtukie. Hapa natumia browser nashindwa kuyaweka

kichwa T 176 ARS
Tela T 348 DES
Maisha magumu kwanini umchome mwanaume mwenzio hivyo? Hesabu za gari na Tajiri yake yeye ndiye ajuayeambaye, kiaina umemuaribia dereva sio poa
 
Tabia za umbea umbea ni tabia za Vijana wa Ccm mambo yasiyokuhusu ya nini umeulizwa
 
Naona kama nawe ni dreva na huyo jamaa mnafahamiana ila umeamua kumharibiabtu. Mambo hayo mbona si mara ya kwanza kufanyika!!

Acha wivu,piga kazi
 
Acha ujinga kaa tumbili wa kike.
Unajua tajiri anawalipa bei gani ?
Ukimuona mama yako anatongozwa utamuambia baba yako ? Kwataarifa yako hilo lori ni langu na mimi ndio niliwatuma wafaulishe hayo mafuta kwa ajili ya Fuso langu mtaa wa pili.
Duh.!
Kwa comment hii ningekuwa mleta mada ningejitoa kabisa Jf maana sio jambo jema kuzomewa na watu hao wote kama umejinyea.!!!
 
Back
Top Bottom