Mwenye hili gari anaibiwa mafuta hapa Arusha

Mwenye hili gari anaibiwa mafuta hapa Arusha

Mkuu acha UNAAA!!hilo gari lingekuwa ni la serikali hapo ningekuita mzalendo namba 3!!baada ya RENATUS MKINGA na JPM,ila sasa hilo ni gari la binafsi na mtu anapewa mafuta kulingana na umbali wa safari yake,je kama ana anajua jinsi ya kubalance mafuta ili yamfikishe anakoenda na kurudi tatizo liko wapi??VITU VINGINE SIO VIZURI,sasa kuna faida gani utakayoipata baada ya kuripoti ?
Kua mzalendo si kulinda Mali ya serikali peke ake hata tunavyosaidiana hivi wezi hawa wakiwamtaani wanaiba nakuku wetu
 
Mleta mada umeniudhi sana maana huo ni uchawi kama wachawi wengine, nini faida ya umbea au unataka uajiriwe wewe kwenye hilo gari?.

NIMECHUKIZWA SANA NA TABIA YAKO YA UNAA!!!
Nimechukizwa Na akili zako zakipimbi asa mtu kutoa taarifa ya uhalifu wee inakuudhi nin mkuu
 
Mleta mada umeniudhi sana maana huo ni uchawi kama wachawi wengine, nini faida ya umbea au unataka uajiriwe wewe kwenye hilo gari?.

NIMECHUKIZWA SANA NA TABIA YAKO YA UNAA!!!
Inaonekana unandoto ya kuja kugombea umwinyi jehanamu
 
Du nimepitia coment watu wanafikir uzalendo ni kwenye mambo yanahusu serikali tu hata mambo yako binafsi lazima uyafanyie uzalendo hao wapiga ki debe hawana sifa ya kuajiriwa sehemu yoyote mtu kama huyo akiajiriwa serikalini unategemea atatunza mali za umma?
 
Acha Umbea.......Kakuibia ww....We huibaigi.....Je kama alinunua akaweka saiv ndo anayatoa.....au kama kajitaidi kuendesha polepole ili angalau apate ridhiki kidogo....Nyie ndo huwa mnapigwa bastola na kufia mbali
Wewe BABA MTAKATIFU na hilo li moustache lako, nikikujua na uonekane mbele yangu, halafu nina bastola mkononi... kwanini hautasepa mara mmoja????
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani nimeshangaa jamaa amefichua waovu lakini anaonekana yeye ndiye mwenye makosa.
Acha kujifanya ulikuwa hujui... utapata tabu sana! Na utaendelea kujifanya kushangaa shangaa... tunahitaji maombi ya aina yake...
 
New World Order!! ""Praise the BAD ones and Shame the GOOD ones!!"" Here we go........

Maisha!!
 
mtoa post anafaa kugongwa nyuma ningekuwanae karibu angenyonya mkonga muda huu
Usionekane mbele yangu nikiwa na kitu kinacho rusha moto... ndio siku hiyo utajua nyuma ni wapi na mbele ni wapi... na kama siku hiyo hutasahau maana ya kunyonya, hata kama ni barafu chuchu...
 
Watu wengine bwana ni sumu!!mimi nilidhania labda ni gari la serikali kuwa ni kodi zetu,sasa mtu binafsi je kama posho za safari wanazopewa hazikidhi!!na kwa magari hayo makubwa mtu anapewa mafuta kulingana na umbali wa safari yake!!madam aende na kurudi?!!je kama mwenyewe anajua jinsi ya kuendesha na kubana mafuta tatizo liko wapi??

boss jaribu pia kufikiri kama mwenye gari au tajiri ni wewe.uwizi wa aina yoyote ni wa kukemewa.
 
boss jaribu pia kufikiri kama mwenye gari au tajiri ni wewe.uwizi wa aina yoyote ni wa kukemewa.
Tatizo ni huyo mleta uzi amekuja na conclusion kuwa jamaa ana iba!!na ma picha kibao huwezi jua kwani magari hayo makubwa mtu anapewa mafuta kulingana na umbali wa safari yake!!huwezi jua huyo dreva yeye anaendesha vipi hadi ana save mafuta!!kwa gari binafsi haina madhara sana kwangu mwanachi !!ila ingekuwa ya serikali hapo sawa kwani ni kodi yangu hiyo nayo ni kama amejiridhisha kuwa hayo mafuta ni ya wizi pia!!
 
Tanzania kila mtu ni mwizi by professional isipokuwa wengi bado hawajapata nafasi ya kuiba!!!!.....
Ndio maana ma kampuni ya kigeni yana ajiri wageni!!!!.....

Just imagine kuna raia wa kigeni aliyewekeza hapa nchini anapitia uzi huu....anapata picha gani...!!?

Watanzania tubadilike...tusijiwazie sisi tu bali pia tuwawazie na wenzetu......

Vaa viatu vya mwenye hilo gari!!!!...

Sijui kwanini Watanzania wanachuki na roho mbaya kwa watu waliofanikiwa...!!?
Spot on! Halafu ndiyo namba moja kupaaza sauti "kwa nini makampuni ya kigeni hayaajiri wazawa?". Ndiyo maana wengi wanapata taabu kuishi awamu hii!

Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
 
Last edited:
Acha umbea we yanakuhusu nini kama sio kuharibiana kazi? Ndo matatizo ya kukosa kazi hayo kufatilia yasiyokuhusu.
 
Acha Umbea.......Kakuibia ww....We huibaigi.....Je kama alinunua akaweka saiv ndo anayatoa.....au kama kajitaidi kuendesha polepole ili angalau apate ridhiki kidogo....Nyie ndo huwa mnapigwa bastola na kufia mbali
Wizi ni wizi tu...
 
Back
Top Bottom