Mwenye experince na Suzuki Escudo

Edward Teller

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,881
2,000
wakuu kwema,
naomba kujua performance na complications za suzuki escudo model hio hapo chini.Iwe ya four au six si vibaya nikajua sifa zake kwa zote na lowest sale price yake ninayoweza pata sokoni nisije ingia choo cha kike.
Regards.
 

Attachments

 • suzuki.jpg
  File size
  174 KB
  Views
  409
 • SUZUKIEscudo.jpg
  File size
  172.3 KB
  Views
  384

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,027
2,000
Escudo ni Gari isiofaa kabisa Gari ukipaki Mara Moja unakuta wameiba kila kitu cha ndani wezi wote wa kariakoo wakikuona umepaki wanshukuru
 

Edward Teller

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,881
2,000
Escudo ni Gari isiofaa kabisa Gari ukipaki Mara Moja unakuta wameiba kila kitu cha ndani wezi wote wa kariakoo wakikuona umepaki wanshukuru
hilo swala la wizi linaweza zuilika kwa muda,mana gari inaweza lala hata kituo cha polisi,hio ya ulinzi haina tatizo,nataka kujua spare zake ni kama x-trail au la?mafuta na barabarani hali yake ipo vip?
 

dagii

JF-Expert Member
Dec 23, 2013
3,906
2,000
Weka hadharani mkuu ni chaguo langu pia najichanga nikainunue hapa
 

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,931
2,000
Hakuna gari zuri kwa sasa kama Suzuki Escudo.... Ninalo tokea january, aisee hii gari iko pouwa sana.. Kwa sasa unaweza kuipata kwa 29 mpaka 28 Ml
 

bruno castol

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
1,048
2,000
Umesahau kauli ya mh mkuu wa kaya, ukiipeleka kituo cha polisi wafungue tayri wauze halafu ukifika wakwambie ilikuja bila tayri, nunua maruti mkuu kama ya nida
 

maswitule

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,392
1,500
Kwa Japan Suzuki hawajawahi comprise kwenye power na quality, spare ni aghali kupita Toyota ila ni ni za uhakika si magumashi
 

kidunula1

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
5,897
2,000
Napenda sana umbo la hizi gari. Hivi model hiii ndio new model ya zile Eskudo za zamani?
Hivi kwa mfano unataka gari aina flani, ukaingia kwenye mtandao ukauliza bei kwa kutumia TRA CALCULATOR, zile gharama zinazokuja kwa jumla ndo bei ya hyo gari au baada ya zile gharama wanazozitoa pale kuna zingine!? Kwa wazoefu wa tra calculator please!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom