Mwenye experince na Suzuki Escudo

Suala la balance ni kweli hasa inapokuja kwenye rough roads hasa zenye kokoto inahitaji kuendesha kwa uangalifu sana. Ila bonge ya gari nimeitumia kwa muda usiopungua miaka minne
 
Suala la balance ni kweli hasa inapokuja kwenye rough roads hasa zenye kokoto inahitaji kuendesha kwa uangalifu sana. Ila bonge ya gari nimeitumia kwa muda usiopungua miaka minne
bonge la gari kwa sifa gani mkuu ebu nijuze.
 
Haina matatizo ya Mara kwa Mara inakwenda barabara zote ngumu kwenye matope iko vizuri . kwa ujumla ni gari ambayo haisumbui na huwazi kwenda nayo eneo lolote!!
 

Attachments

  • IMG_20160623_082048.jpg
    IMG_20160623_082048.jpg
    190.3 KB · Views: 284
  • IMG_20160623_082051.jpg
    IMG_20160623_082051.jpg
    191.5 KB · Views: 267
  • IMG_20160623_081909.jpg
    IMG_20160623_081909.jpg
    186.6 KB · Views: 279
Lalambele jini hilo,utajuna ninalo hapa mikese ni tatizo,njooo ninayo no d njo na 9
 
Kuna mtu hapa anachanganya..anadai amewahi kuwa na Suzuki Escudo Vitara..haya magari mawili tofauti.Makes za Suzuki ni kama zifuatavyo:Escudo,Vitara,Swift,Grand Vitara,Samurai,Esteem,Verona,Reno,Xl7,Equator,Forenza,X-90,Aerio,Kizashi,Side kick,S-X4,.
Hivyo kama unataka Suzuki ni vyema ukanunua kati ya Escudo,Vitara,na Swift.haya ni magari Magumu sana .kwanza bei yake ni ndogo,vifaa vyake ni cheap na available na consuption ya mafuta ni ndogo pia kulingana na Matumizi yako.
Zamani watanzania wengi walipenda sana Suzuki Samurai ambazo halmashauri nyingi zilikuwa zinanunua pia..sababu ni hizo nilizotaja...na nyingi ni 4Wheel drive kulingana na pendekezo lako lakini.
Unaonunua gari lililotumika hakikisha vitu kadhaa mfano kwa nini muuzaji analiuza...lipo katika hali gani na je linaendana na bajeti yako?Vinginevyo usinunue gari ambalo limekuwa kero kwa mwenzio alafu akufanye wewe ndo ununue kero zake na hasara kibao.
Wengine wanapiga gari rangi au unakuta body ni Suzuki ila engine siyo Suzuki.
Ila sijaandika haya kukatisha biashara za watu ila hapa tunasaidiana mawazo.Kama unataka maelezo zaidi na unataka gari zuri .tafadhali niandikie kwa email yangu ntakusaidia kabisa na mimi ni Wakala wa Beforward.jp used cars na mimi naagiza gari ambalo utalipenda.email yangu ni;Clavingod@gmail.com.Karibu.
 
Niliwahi kutumia Grand Vitara ya 2007 toka DT Dobie,kuanzia kilometa 0 hadi 40K;Ofisi ikanishawishi niinunue,naweza kusema kwa ufupi,fuel index yake siyo nzuri relative na Rav 4,pia Resale value yake ni poor.Comfortability ni poor kama passenger.Pia ukiendesha above 100km/ hour inakosa stability/Balance.Ni nzuri rough road,relative to Rav 4.
Spare zake nyingine wakati huo hadi ubook D.T.Dobie,ziletwe kwa Dhl,after 2-3 weeks,na zilikuwa gari.Hadi naachana Mali nilimshukuru Mungu.Naweza kusema Toyota wanatengeneza reliable cars.
 
Well nakubaliana na comment yako Mr Kabunguru..lakini ujue pia Grand Vitara ina u mayai flan...bila shaka utanielewa tofauti na haya madogo ya Escudo na Swift.Hata hivyo bei ya magari ya toyota ni tofauti na Suzuki...nadhani ni kwa sababu ya ubora na availability ya spare ...Toyota ina spare sehemu nyingi na magari yake yanauzika haraka...ila si unajua kila mtu na uchaguzi wake ktk magari babaaa?
 
Back
Top Bottom