Mwenye CV ya Spika (Mussa Zungu)

Ana uraia pacha hapo alipo.
Umri umeenda sana,

Hana busara ya kuongoza Bunge , sababu ya historia yake ya kushiriki kufanya Biashara za kihuni enzi izo kk.

Na ndio maana unaona anaropoka hovyo TU πŸ˜‚ , hata akiwa Yuko mbele ya Bunge, tegemeeni Bunge kuendeshwa kihuni/ mafia.

Huku zungu katikati Maza mbele ema , ngoja tuone hizi kete zitakavyo sukumwa.

Ni mraaibu wa Tambuu.
 
Na mirungi
 
Muuza ngada mbobevu
 
Nsibu Meya Ilala?
 
Baada ya kusoma kuhusu elimu yake ,nimejiridhisha pasi na shaka elimu yake ni ya msingi au ukitaka kutumia lugha ya kupunguza ukali wa maneno iite ya mfereji.
 
TZ kila mtu ni TISS hata waokota makopo barabarani ni TISS usiwaone vile wapo kazini pale 😁

Nini cha maana TISS wamewahi kufanya toka kuanzishwa kwao?
Hata sijui, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…