Mwenye CV ya mrembo Jackie Cliff

wenye pesa hawajisifu, embu fatilia uone! Huyo kusema kweli ni mzuri ila jana alichemka labda kwa pesa za kuhongwa
 
Mtu mwenye fedha tunamtambua kutokana na kiwango cha kodi anacholipa TRA na namna anavyotumia hela zake katika investment za kiuchumi na kijamii mfano kufungua biashara na misaada ya kijamii. Lakini unaposema unapesa alafu hatuoni kitu ambacho ni ushahidi wa maneno yako hapo kuna utata. Kama ana pesa afanye vitu kama Sabodo na si kubadilisha kumbi za burudani
 
Inawezekana anazo kweli jamani....kwa kuwa amesema mwenyewe kuna ana pesa sawa japo sijui kama aliulizwa kama ana pesa ama la mimi sikuona hayo mahajiano.Japo wenzetu hawa siku hizi wanatumia nafasi kama hizo kupigana vijembe.
 
Ni mke wa mzee wa mujin mmoja hiv anaitwa Fundikira,ni zao la lundenga na ni yule dem wa kwenye video ya Ngwair, she got a gwan
 
ni mtoto wa kibena kutoka njombe,ni chotara wa kiburushi na mbena. Mama yake alikuwa dada wa kazi kwa mburushi huyo, alipopata ujauzito akarudishwa kwao njombe..
 
jackie cliff.jpg
:confused2:Jamani mimi napita tu! Ila waliotaka kuona sura ya Jackie Cliff picha yake ndio hii hapa. Sina la kusema zaidi.
 
Back
Top Bottom