Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,946
- 38,656
Jaji wa Mahakama ya Rufani, Stella Mugasha
Siku mbili hizi ameteka headline kwa barua aliyoandika kukosoa kuongezewa muda Jaji Mkuu.
Naomba mwenye CV ya Jani Mugasha pls ashare nasi hapa
Pia soma
Wewe; ya kazi gan??Mhe. Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania.
Siku mbili hizi ameteka headline kwa barua aliyoandika kukosoa kuongezewa muda Jaji Mkuu.
Naomba mwenye CV ya Jani Mugasha pls ashare nasi hapa
Lengo ni lipi basi??? Liweke wazi japa hilo lengo lako kwa sababu "whatever secret is not sincere".Sidhani kama lengo ni hilo