Nimelima miwa ya sukari kampuni niliyokuwa naitegemea wameyumba kibiashara. Naombeni msaada kwa mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania nijaribu bahati yangu.

Ungesema kampuni gani uliyokuwa unaitegemea ila imeyumba maana mtu anaweza kuku refer mtibwa au kagera sugar kumbe ndio zimeyumba ukaona watu wanakukejeli tu.