Mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania nipeni nipeleke miwa yangu

chumvichumvi

JF-Expert Member
May 6, 2010
1,206
304
Kwema wana jamvini.

Nimelima miwa ya sukari kampuni niliyokuwa naitegemea wameyumba kibiashara. Naombeni msaada kwa mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania nijaribu bahati yangu.
 
Bruv upo wapi

How much tons we talking
 
Ungesema kampuni gani uliyokuwa unaitegemea ila imeyumba maana mtu anaweza kuku refer mtibwa au kagera sugar kumbe ndio zimeyumba ukaona watu wanakukejeli tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom