mwenye akili ajibu

davidm

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
393
127
imagine kama kungekuwa na uwezekano wa jogoo kutolewa na kurudishwa, kuazimishwa au hata kuuzwa.. ingekuwaje?
 
hapo mume akisafiri, mke anamwambia acha jogoo wako nyumbani..
 
Sie huku kwetu majogoo yanauzwa kwa sana tuu halafu bei rahisiii. Ila pia unaweza azima wa jirani kwa ajili ya kurutubisha mayai ya mitetea wako, kama jogoo wa jirani ni Mzuri. Kweli kwetu Pazuri jamanii
 
wapi tena huko nije fasta.... maana huku kwetu kila mtu na wa kwake... na wanavyowalinda kama hela kumbe jogoo..
 
Sie huku kwetu majogoo yanauzwa kwa sana tuu halafu bei rahisiii. Ila pia unaweza azima wa jirani kwa ajili ya kurutubisha mayai ya mitetea wako, kama jogoo wa jirani ni Mzuri. Kweli kwetu Pazuri jamanii

wapi tena nije... maana jogoo wa jirani hapandi mtungini..
 
si ndio post ikadai mwenye akili.. ukiachwa kwenye mitaa ujue.....malizia?

hata ticha si huwa anafanya masahihisho kama mwanafunzi kakosea si unambie tu kama ni huyu au yule af nijibu swali vizuri next paper wng.
 
hata ticha si huwa anafanya masahihisho kama mwanafunzi kakosea si unambie tu kama ni huyu au yule af nijibu swali vizuri next paper wng.

Hapa anaongelewa "jogoo" yule,sio jogoo huyuhuyu! mi wangu huwa naazimisha ukitaka!
 
Wallah angekuwa anang'oka, ningemchukua wangu nimfungie kwa pochi nitembee naye kila mtu asafiripo maana mhhh!
 
Wakwangu pia naazimisha, mwenye kuhitaji kurutubisha mayayi aje.
 
wapi tena nije... maana jogoo wa jirani hapandi mtungini..

Unataka jogoo? Njoo hapa kwetu chereeechee, kuna mijogoo kibao, halafu ya kienyeji asikwambie mtu, si unajua ya kienyeji kushea ndo kawaida?
 
Back
Top Bottom