Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,292
Najaribu kutafakari hizi kauli za viongozi wetu wa siasa kila mmoja ametoa kauli yake nataka kujua hizi kauli kuhusu Mwenge wa Uhuru walikua na maana gani!
- Mwalimu Julius Nyerere (Baba wa Taifa) yeye alisemange uwamulike na kuwachoma maadui zetu na kulinda mipaka yetu.
- Augustino Lyatonga Mrema (Mbunge wa Vunjo) yeye alisema akipata ridhaa ya kuwa raisi wa nnshii hii kupitia tiketi ya chama cha NCCR Mageuzi atapiga marufuku mwenge wa Uhuru kwakua umepitwa na wakati.
- Dr. Wilbrod Slaa naye alisema akiwa kwenye kampeni zake za kuwania Uraisi kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kua Mwenge atauweka kwenye jumba la makumbusho.