Luhaga Mpina Ashauri Mwenge wa Uhuru Upitie Miradi Yote

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,173
1,028

MBUNGE LUHAGA MPINA ASHAURI MWENGE WA UHURU UPITIE MIRADI YOTE

Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Joelson Mpina ameishauri Serikali kurekebisha muundo wa mbio za Mwenge wa uhuru badala ya kupita kwenye Miradi ya Halmashauri pekee ipite na kwenye Miradi Yote

Akizungumza na waandishi wa habari Babati mkoani Manyara Mpina amesema kuwa Miradi ya SGR, TANESCO na Miradi mingine ijumuishwe katika mbio za Mwenge wa uhuru ili kama kuna changamoto yoyote hatua ichukuliwe dhidi ya mhusika

Pia amesema kuwa Kila mwaka mwenge wa uhuru unabaini ubadilifu wa fedha,wizi na Nyaraka lakini Serikali haichukui hatua dhidi ya wahusika hivyo ameishauri Serikali Kila mwaka kuwe na taarifa ya maelekezo yalizochukua dhidi ya wahusika wanaokwamisha Miradi ya Serikali

Mpina amemalizia kusema kuwa mwenge wa uhuru uwekewe Utaratibu mzuri wa kufika Hadi vijijini maana Kila mwaka mwenge unazunguka katikati ya Halmashauri hiyo itasaidia kupeleka huduma za kutosha vijijini ambapo ndipo Kuna changamoto kubwa sana ya miundombinu
uzinduzi ajenda ya kitaifa ya mifugo na uvuvi-2.JPG
 
Mwenge ni kama vile upo kwa ajili ya kukimbizwa na kubaini mapungufu kwenye miradi local tu isiyohitaji utaalamu wa hali ya juu ambayo upatikana kwenye halmashauri tu ambako mambo uendeshwa ki-local local na ambako pia watendaji kama ma-DC, ma-MD, ma-DED n.k. uwa wanawanyenyekea sana viongozi wa mbio za mwenge. Mara nyingi rushwa nayo uwa inatembezwa na watendaji hao kwa viongozi wa mbio za mwenge ili waweze kufumbia macho baadhi ya mapungufu yaliyopo kwenye miradi inayokaguliwa ili kuepusha kumwaga unga.
 
mwenge wa uhuru ni ama uzimwe au turejee maandiko yake. hayupo mwana ccm anayeamini kwenye mwenge hata mmoja . mpina mwenyewe ana hekari 300 morogoro tu hapo alizipataje huyu juzi tu alikuwa mtendaji wa kata?
atupishe bhana
 
MBUNGE LUHAGA MPINA ASHAURI MWENGE WA UHURU UPITIE MIRADI YOTE

Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Joelson Mpina ameishauri Serikali kurekebisha muundo wa mbio za Mwenge wa uhuru badala ya kupita kwenye Miradi ya Halmashauri pekee ipite na kwenye Miradi Yote

Akizungumza na waandishi wa habari Babati mkoani Manyara Mpina amesema kuwa Miradi ya SGR, TANESCO na Miradi mingine ijumuishwe katika mbio za Mwenge wa uhuru ili kama kuna changamoto yoyote hatua ichukuliwe dhidi ya mhusika

Pia amesema kuwa Kila mwaka mwenge wa uhuru unabaini ubadilifu wa fedha,wizi na Nyaraka lakini Serikali haichukui hatua dhidi ya wahusika hivyo ameishauri Serikali Kila mwaka kuwe na taarifa ya maelekezo yalizochukua dhidi ya wahusika wanaokwamisha Miradi ya Serikali

Mpina amemalizia kusema kuwa mwenge wa uhuru uwekewe Utaratibu mzuri wa kufika Hadi vijijini maana Kila mwaka mwenge unazunguka katikati ya Halmashauri hiyo itasaidia kupeleka huduma za kutosha vijijini ambapo ndipo Kuna changamoto kubwa sana ya miundombinu
View attachment 2783785

Pamojavna kuwa pendekezo lingekuwa kuuhifadhi museam, bado CCM hata hapa watapinga.
 
Mimi napendekeza uwekwe kwenye Makumbusho ya Taifa. Maana kwa sasa ni zilipendwa.
 
Back
Top Bottom