Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,414
- 25,943
Unatumia maneno makavu makavu sana kupush hoja zako, hapo ndipo unapokwama.Wewe endelea kuabudu sanamu na wafu! Mi sikuzuii nakushauri!
Unatumia maneno makavu makavu sana kupush hoja zako, hapo ndipo unapokwama.Wewe endelea kuabudu sanamu na wafu! Mi sikuzuii nakushauri!
Mkuu unataka niseme maneno ya kukufurahisha ili iweje! Vumilia dawa ikuingie!Unatumia maneno makavu makavu sana kupush hoja zako, hapo ndipo unapokwama.
Sa una kazi gani huo mwenge zaidi ya vurugu tu barabarani kila unapopitaHalafu eti kuna wapungufu wa akili wanaota wakiingia ikulu ajenda yao ya kwanza ndani ya siku100 watauzima mwenge na kuuweka makubusho ya taifa!
Aliyekwambia nina ukame wa kufurahi ni nani ?Mkuu unataka niseme maneno ya kukufurahisha ili iweje! Vumilia dawa ikuingie!
Imeandikwa,kila nafsi itaonja mautiMaisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!
Hivi MaCCM mtajifunza lini kuacha kuwatendea ubaya watanzania,
Pole sana.Kanisa na ushirikina wa mwenge, katoliki mna nini lakini?
Nani ataepuka hiyo hatua? je ni wewe?Maisha haya…, leo hii Magufuli na kujimwambafai kwake kote kule, na kututukana watanzania atakavyo leo hii yupo kundi la WAFU..!
Hivi MaCCM mtajifunza lini kuacha kuwatendea ubaya watanzania