Mwenge uko Bukoba (Picha)

si kiherehere kilichompeleka pale lwakatare, bali ni kwamba jengo lililokuwa likizinduliwa liko jirani kabisa na ofisi za chadema. Nadhani walimtafuta aokoe jahazi maana nasikia mkuu wa wilaya hakuwa anapokea respond ya wananchi kila aliposema "mwenge oyeeee". Bila shaka walimfuata ofisini kwake kwa sababu ni next house, kuokoa jahazi maana aliposema " chadema", ghafla hali ilibadilika.

wacha kujifanya ati chadema hawautambui mwenge kitu gani kilchomfanya lwakatare ahudhurie hapo ktk hafla ya mwenge? Kama sio ukereketwa!!!
 
Back
Top Bottom