GE2025 Mwenezi BAWACHA, Sigrada Mligo ajiondoa CHADEMA, ahamia CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sisi watanzania weni wetu ni makatili sana, na bora ukatili huu tungeufanya ili kutetea chi yetu lakini ajabu ni kwa maslahi ya kimwili (material gain).
Laiti Lissu angeiba kura kupata uenyekiti basi ni haki watu kufanya wanayofanya lakini alichaguliwa wazi kabisa na sasa yuko jela basi tungeweka japo aibu ya ubinadamu akatoka jela kwanza!
 
Hilo unasema wewe mtumwa usiyejua kunyanyaswa ni nini Wala upeo wa kuelewa hilo.
Kwahiyo baada ya mimi kusema wewe kimukuuma nini??? Wala huna uwezo wa kushindana na mimi labda uchawa, hebu taja hayo manyanyaso unayoyaona wamenyanyaswa.
 
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akilalamikia kile alichokiita kauli za kubeza mchango wake na mazingira ya “unyanyasaji wa ndani ya chama.”

Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatatu katika makao makuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Kinondoni jijini Dar es Salaam, Mligo amesema kuwa ameumizwa na namna anavyotajwa kuwa chanzo cha migogoro, licha ya kuwa mmoja wa waliokibeba chama wakati wa kipindi kigumu.

“Mwaka 2019 tuliendesha CHADEMA Digital ambayo ilikuwa inasajili wanachama na kushughulikia masuala ya uchaguzi. Lakini kwenye uchaguzi wa Januari 2025, CHADEMA ilishindwa kufanya operesheni kwenye majimbo ya Makete, Wang’ing’ombe na Ludewa kwa sababu ya ukosefu wa bajeti. Mimi ndiye nilimpigia Katibu Mkuu Mnyika kuuliza sababu, na yeye akathibitisha kuwa hawana fedha,” amesema Mligo.

Kwa mujibu wa Mligo, aliamua kufadhili operesheni hiyo kwa fedha zake binafsi, akitumia zaidi ya shilingi milioni 15 kuhakikisha kuwa majimbo hayo matatu katika Mkoa wa Njombe yanashiriki mchakato wa uchaguzi wa ndani ya chama.

“Niliigharamia kwa fedha zangu hadi majimbo yanapata uongozi ambao ulipiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa chama. Zipo kwenye kumbukumbu rasmi, hawawezi kubisha,” amesisitiza.

Hata hivyo, Sigrada alisema licha ya kujitolea kwake kwa hali na mali, amekuwa akidhihakiwa na baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA ambao, kwa maneno yake, wanajifanya kuwa wao ndio waliokifia chama kuliko wengine.

“Sasa unakutana na lugha za kienyeji sana ambazo zinataka kuonesha kwamba kuna watu wameipambania CHADEMA, kuna watu wameifia CHADEMA kuliko watu wengine, kwahiyo sisi watu wengine sio watu wa matangazo na siyo watu wa mitandaoni, ndiyo maana nikasema nikisema niliyoyafanya kwenye chama hiki halafu mtu anakuja na lugha laini kwamba Sigrada anakiua chama, unamshangaa”, ameeleza Sigrada.

Kauli ya Mligo imekuja miezi kadhaa baada ya kuripotiwa kujeruhiwa na mmoja wa walinzi wa CHADEMA wakati wa kikao cha ndani kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, Machi 25, 2025, mjini Njombe.

Wanaokwenda Chauma kama hawajui namna ya kuandaa statement zao niwasaidie bure kuliko kuhama chama na shutuma za kishamba.

Kwani ukihama kwa kusema unatafuta platform mpya ya kufanya siasa unapungukiwa na nini?

Mbona mwenzao Agnesta yupo smart kichwani anajiokotea tu jimbo la Segerea.

Hili jimbo Chauma wanalichukuwa saa mbili asubuhi tu.
 
Kwahiyo baada ya mimi kusema wewe kimukuuma nini??? Wala huna uwezo wa kushindana na mimi labda uchawa, hebu taja hayo manyanyaso unayoyaona wamenyanyaswa.
Kasikilize huko, utayasikia.....niyataje Mimi kivipi?!!! Kwani Kuna anayehitaji kubishana nawe?!!! Ili nifaidike nini'?!!!
 
Asante,
Sigrada mligo,
Umeona mbali sana,karibu sana, feel free at home, you're now a new one!
#Congratulation for joining up!
#Umeushinda udikteta wa kina lissu na heche!
 
Hakuna chochote mtakachokipata kwa huyu ombaomba. Kama hamtakuwa mnamrushiarushia vihela, hamtaweza kukaa naye. Akipatikana yeyote wa kumhakikishia kipato ndiye pekee atakayemsikiliza. Hata wakati wa kampeni za uchaguzi, alisimama na upande w Mbowe, siyo kwamba alikuwa anamtaka sana Mbowe, bali upande wa Mbowe ulikuwa na pesa nyingi iliyokuwa imetoka CCM. Uchaguzi ulipoisha, na Mbowe kuanguka, CCM wakaamua kuendelea kumtumia. Akapewa kazi maalum, lengo ni kumzuia Heche asifanye siasa. Siku alipotengeneza maigizo ya kupigwa, kama Heche angetoka tu huko nje alikokuwa, alikuwa anakamatwa.
 
chadema waliobaki aili zao haziwatoshi yaani wanaendeshwa na lissu ambaye siyo mzalendo watahenya sana mwaka huu na uchaguz uko palepale
Lisu yupo jera anawaendeshaje, au ni kuweweseka na kuvuli Cha MTU. Hebu tuwe tunaweka hoja zenye mashiko
 
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akilalamikia kile alichokiita kauli za kubeza mchango wake na mazingira ya “unyanyasaji wa ndani ya chama.”

Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatatu katika makao makuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Kinondoni jijini Dar es Salaam, Mligo amesema kuwa ameumizwa na namna anavyotajwa kuwa chanzo cha migogoro, licha ya kuwa mmoja wa waliokibeba chama wakati wa kipindi kigumu.

“Mwaka 2019 tuliendesha CHADEMA Digital ambayo ilikuwa inasajili wanachama na kushughulikia masuala ya uchaguzi. Lakini kwenye uchaguzi wa Januari 2025, CHADEMA ilishindwa kufanya operesheni kwenye majimbo ya Makete, Wang’ing’ombe na Ludewa kwa sababu ya ukosefu wa bajeti. Mimi ndiye nilimpigia Katibu Mkuu Mnyika kuuliza sababu, na yeye akathibitisha kuwa hawana fedha,” amesema Mligo.

Kwa mujibu wa Mligo, aliamua kufadhili operesheni hiyo kwa fedha zake binafsi, akitumia zaidi ya shilingi milioni 15 kuhakikisha kuwa majimbo hayo matatu katika Mkoa wa Njombe yanashiriki mchakato wa uchaguzi wa ndani ya chama.

“Niliigharamia kwa fedha zangu hadi majimbo yanapata uongozi ambao ulipiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa chama. Zipo kwenye kumbukumbu rasmi, hawawezi kubisha,” amesisitiza.

Hata hivyo, Sigrada alisema licha ya kujitolea kwake kwa hali na mali, amekuwa akidhihakiwa na baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA ambao, kwa maneno yake, wanajifanya kuwa wao ndio waliokifia chama kuliko wengine.

“Sasa unakutana na lugha za kienyeji sana ambazo zinataka kuonesha kwamba kuna watu wameipambania CHADEMA, kuna watu wameifia CHADEMA kuliko watu wengine, kwahiyo sisi watu wengine sio watu wa matangazo na siyo watu wa mitandaoni, ndiyo maana nikasema nikisema niliyoyafanya kwenye chama hiki halafu mtu anakuja na lugha laini kwamba Sigrada anakiua chama, unamshangaa”, ameeleza Sigrada.

Kauli ya Mligo imekuja miezi kadhaa baada ya kuripotiwa kujeruhiwa na mmoja wa walinzi wa CHADEMA wakati wa kikao cha ndani kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, Machi 25, 2025, mjini Njombe.

Dah!,
binti alinusurika kunyang'anywa uhai na walinzi katili sana wa heche, kwa amria ya heche, huku heche mwenyewe akishuhudia na kufurahia ukatili ambao binti huyo alikua akifanyiwa.

huenda walinzi wale katili wa heche ndio waliomdhulumu mzee kibao.
 
Sisi watanzania weni wetu ni makatili sana, na bora ukatili huu tungeufanya ili kutetea chi yetu lakini ajabu ni kwa maslahi ya kimwili (material gain).
Laiti Lissu angeiba kura kupata uenyekiti basi ni haki watu kufanya wanayofanya lakini alichaguliwa wazi kabisa na sasa yuko jela basi tungeweka japo aibu ya ubinadamu akatoka jela kwanza!
upimbavu wa lisu kayataka mwenyewe sisi yanatuhusu nini ?
 
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akilalamikia kile alichokiita kauli za kubeza mchango wake na mazingira ya “unyanyasaji wa ndani ya chama.”

Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatatu katika makao makuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Kinondoni jijini Dar es Salaam, Mligo amesema kuwa ameumizwa na namna anavyotajwa kuwa chanzo cha migogoro, licha ya kuwa mmoja wa waliokibeba chama wakati wa kipindi kigumu.

“Mwaka 2019 tuliendesha CHADEMA Digital ambayo ilikuwa inasajili wanachama na kushughulikia masuala ya uchaguzi. Lakini kwenye uchaguzi wa Januari 2025, CHADEMA ilishindwa kufanya operesheni kwenye majimbo ya Makete, Wang’ing’ombe na Ludewa kwa sababu ya ukosefu wa bajeti. Mimi ndiye nilimpigia Katibu Mkuu Mnyika kuuliza sababu, na yeye akathibitisha kuwa hawana fedha,” amesema Mligo.

Kwa mujibu wa Mligo, aliamua kufadhili operesheni hiyo kwa fedha zake binafsi, akitumia zaidi ya shilingi milioni 15 kuhakikisha kuwa majimbo hayo matatu katika Mkoa wa Njombe yanashiriki mchakato wa uchaguzi wa ndani ya chama.

“Niliigharamia kwa fedha zangu hadi majimbo yanapata uongozi ambao ulipiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa chama. Zipo kwenye kumbukumbu rasmi, hawawezi kubisha,” amesisitiza.

Hata hivyo, Sigrada alisema licha ya kujitolea kwake kwa hali na mali, amekuwa akidhihakiwa na baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA ambao, kwa maneno yake, wanajifanya kuwa wao ndio waliokifia chama kuliko wengine.

“Sasa unakutana na lugha za kienyeji sana ambazo zinataka kuonesha kwamba kuna watu wameipambania CHADEMA, kuna watu wameifia CHADEMA kuliko watu wengine, kwahiyo sisi watu wengine sio watu wa matangazo na siyo watu wa mitandaoni, ndiyo maana nikasema nikisema niliyoyafanya kwenye chama hiki halafu mtu anakuja na lugha laini kwamba Sigrada anakiua chama, unamshangaa”, ameeleza Sigrada.

Kauli ya Mligo imekuja miezi kadhaa baada ya kuripotiwa kujeruhiwa na mmoja wa walinzi wa CHADEMA wakati wa kikao cha ndani kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, Machi 25, 2025, mjini Njombe.

Wenye akili wote wanajiondoa chadomo wamebaki watoa mapovu na waropokaji.
 
Kuwapa

Lissu na Heche hawakustaili kupewa uongozi.Wamesababisha udhaifu mkubwa sana kwa chama chao
 
Kasikilize huko, utayasikia.....niyataje Mimi kivipi?!!! Kwani Kuna anayehitaji kubishana nawe?!!! Ili nifaidike nini'?!!!
Basi fumba mdomo wako kwa sababu sikukuita ukomenti nilichoandika. Hizo habari nazifuatilia hadi leo. Hakuna manyanyaso yoyote labda maneno ya kiccm mnayomezeshwa huko lumumba a kuaminishwa hayo juu ya chadema.
 
Back
Top Bottom