sigrada mligo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Nchi hii sasa hivi tumehama kwenye sheria, tunaishi kwa matamko

    Mbunge wa Viti Maalum (Mkoa wa Njombe) kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amesema Tanzania imeacha kuongozwa na misingi ya sheria katika baadhi ya masuala na badala yake inaendeshwa kwa matamko, hali ambayo amesema inaathiri utekelezaji wa haki na uhuru wa kisiasa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sigrada Mligo: Wabunge tunalipwa hela ya mafuta kulingana na bei iliyoko sokoni siku hiyo ndio maana wabunge hawajadili kupanda kwa mafuta

    Maneno anayosema Mbunge wa Viti Maalumu, Sigrada Mligo, kwenye video kwa maandishi Sigrada- "Mmeona wabunge huko wana wanakutana wanajadili mafuta? Yaani wako siriasi kuwasemea wananchi kuhusu mafuta? Bunge siriasi linatakiwa lisimamishe ratiba zote lijadili jambo la dharura la mafuta kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sigrada Mligo: Bunge Siyo Msaada kwa wananchi, ni taasisi ambayo inatumia gharama kubwa [pesa za watanzania] kuliendesha halafu matokeo ni madogo

    Mahojiano kwa maneno kati ya Sigrada Mligo na Mwandishi wa habari Mwandishi: Uliwaza nini kuondoka CHADEMA, kwa sababu tunajua kila kitu kina sababu. Sigrada Mligo: Niliwasha simu nikakuta mtandaoni, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa John Heche, anasema kwamba yule binti anatumika na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Upinzani Sigrada Mligo apiga kura ya hapana Bajeti kuu ya Serikali 2026/2027

    Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amepiga kura ya hapana kwa Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 ambapo Idadi ya wabunge waliokuepo bungeni ni 393 ambao hawakuepo ni 8 , waliopiga kura ya ndiyo ni 385 na waliopiga kura ya...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Sigrada Mligo: Fedha zinazotumika kwenye ziara za Waziri Mkuu ziende kwenye miradi, huwezi suluhisha mgogoro kwa siku moja

    Sigrada Wilhem Mligo Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Mkoa wa Njombe, CHAUMMA akichangia bungeni ameitaka Serikali kupunguza matumizi ili pesa zielekezwe kwenye miradi kusaidia wananchi Anasema "Kwa mfano ziara za Waziri Mkuu. Mimi sikatai Waziri Mkuu kusaidia wananchi. Tunaweza tukabana...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Zungu amuonya vikali Mbunge CCM, kwa kutumia lugha za kuudhi na kudhalilisha Bungeni ''Sigrada hajitambui''

    Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametoa onyo kwa Mbunge wa Kishapu, Lucy Mayenga kufuatia kauli zake za kuudhi na kudhalilisha alizozitoa dhidi ya Mbunge wa Viti Maalum (CHAUMMA) Sigrada Mligo Mei 21, 2026 wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi. "Maneno aliyotumia Mhe. Lucy Mayenga...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hamjamuelewa yule mbunge kutoka Zanzibar. Sigrada Mligo ndio Yuda wala sio Dkt Nchimbi

    Inasemekeana yule Mzanzibari alikuwa akimlenga Sigrada Mligo na wala sio makamu wa rais Dk Nchimbi. Haiwezekani mbunge wa CCM aweze kumdhalilisha namna hii makamu wa rais kwa kumuita Yuda na anajipendekeza kutumia jina la hayati JPM
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mligo: Tanzania Moja, Serikali Moja, Lakini tuna Mifumo Miwili ya Elimu ambayo inayoumiza Vijana

    Kwa sababu bila kuumiza kichwa zaidi naanza mfano kwenye issue ya elimu ni Tanzania moja ni serikali moja tuna mifumo ya elimu ya aina mbili mtoto wa waziri wa mbunge amesoma English medium mfumo wa kiingereza mtoto wa mama anasoma kwenye shule ya msingi ambao mfumo ni wa kiswahili tunatarajia...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sigrada Mligo: Kama huijui CCM unaweza sahau taabu zote

    Wakati wa mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Aprili 8, 2026, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema hotuba ya Waziri Mkuu "Ni hotuba ambayo kama huijui Serikali ya Chama cha Mapinduzi, unaweza ukasahau taabu zote. Ni hotuba nzuri sana...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Sigrada Mligo: Inashangaza wanyonge hatuungani kupambana na wenye nguvu

    Akiwakilisha kundi la Wabunge walio wachache bungeni katika msiba wa Hayati Edwin Mtei, Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema busara na hekima za Mzee Mtei ni nguzo muhimu ambazo wanasiasa wanapaswa kujifunza. “Mimi binafsi huwa natamani nipate hata robo tu ya busara za...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sigrada Mligo: Siungi hoja ya kufanya maridhiano baada ya matukio yaliyotokea Oktoba 29

    Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo amesema haungani na hoja ya kufanya maridhiano baada ya matukio yaliyotokea Oktoba 29 wakati akieleza kuwa serikali ilipaswa kusikiliza maoni ya Watanzania. Sigrada amesema kuwa yeye ni muumini wa kuzuia tukio na...
  12. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sigrada Mligo: Mimi sijafurahia kuwa Mbunge katika Bunge ambalo taifa linavuja damu

    Sasa kama ujafurahishwa mbona umefika huko Bungeni? au unatuletea unafiki wako hapa! Wewe kama umeona kuna hali mbaya kwa Watanzania wakati huu ungekataa, ila ukakubali kabisa na kufika hadi huko. Pesa tamu wewe tuache sisi kutulamba mikono wakati unataka kuvila vidole vyetu. ===============...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sigrada Mligo amtuhumu mgombea CCM Njombe Mjini kuanza Kampeni Mapema kabla ya uteuzi

    Mgombea Ubunge kwa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo amelalamikia uvunjwaji wa kanuni za kiuchaguzi kutokana na Mgombea Ubunge wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) kwa Jimbo hilo Deo Mwanyika kuanza kufanya kampeni akiwa bado hajateuliwa bado na Tume...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumekucha, CCM Njombe waanza Kampeni kwa mabango kabla ya muda

    Haya sasa mambo yapo nje ya muda, yaani CCM mwaka huu hata hawaogopi ni mambo hadharani kuvunja kanuni na sheria za nchi na hawachukuliwi hatua. Hapo ingekuwa ni CHADEMA tayari huyo mgombea angefutwa na kuondolewa kuwania tena Tume ya uchaguzi wangeshatangaza ila kwa sababu ni CCM ni kama...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sigrada Mligo: Mbunge unatakiwa usiku, mchana uwe tayari kusikiliza wananchi

    Mtiania nafasi ya ubunge Jimbo la Njombe kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema uwakilishi wa wananchi ni ule wa kusikiliza na kubeba shida za wananchi wakati wote na kuzifanyia kazi. "Lakini kibaya zaidi kuna wabunge ambao badala ya kuwawakilisha wananchi wametumia kama tiketi ya kujinufaisha...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sigrada Mligo: Mbunge unatakiwa wakati wote iwe usiku au mchana uwe tayari kuwasikiliza wananchi wako

    Mtiania nafasi ya ubunge Jimbo la Njombe kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema uwakilishi wa wananchi ni ule wa kusikiliza na kubeba shida za wananchi wakati wote na kuzifanyia kazi. "Lakini kibaya zaidi kuna wabunge ambao badala ya kuwawakilisha wananchi wametumia kama tiketi ya kujinufaisha...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenezi BAWACHA, Sigrada Mligo ajiondoa CHADEMA, ahamia CHAUMMA

    Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akilalamikia kile alichokiita kauli za kubeza mchango wake na mazingira ya “unyanyasaji wa ndani ya chama.” Akizungumza na...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Makalla tuambie hivi Sigrada Mligo anaendeleaje na matibabu?

    Kwanza nakupa pongezi kwa moyo wako wa huruma kwa hatua ulizochukua za kumsafirisha Katibu Mwenezi wa BAWACHA Sigrada Mligo kwenda kupata matibabu ya kibingwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma. Itakumbukwa Sigrada Mligo alipigwa na mlinzi binafsi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 James Mbowe alaani Kitendo cha Chadema kukaa kimya kushambuliwa kwa Mwenezi BAWACHA Bi. Sigrada Mligo

    Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA James Mbowe ameeleza kuwa Kitendo cha Chadema kukaa kimya kwa siku takribani saba tangu kushambuliwa kwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chadema BAWACHA Bi. Sigrada Mligo, sio kitendo cha kiungwana, akikosoa pia taarifa ya Chadema Taifa ya...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 PICHA: Viongozi wa BAWACHA Kanda ya Kati wamjulia Hali Mwenezi Taifa, Sigrada Mligo

    Viongozi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Kati na Mkoa wa Dodoma wamefika katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kumjulia hali Mwenezi wa BAWACHA Taifa, Bi. Sigrada Mligo, ambaye amelazwa hospitalini hapo baada ya kuhamishwa kutoka Hospitali ya Mkoa wa Njombe. Bi...
Back
Top Bottom