Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Umeadimika sana mkuu almanusura majuzi nikutafute. Maana siku hizi watu wanaongea sana humu..mineno mingi mingi tu, ndipo nikakukumbuka mzee wa majibu na maneno ya picha bila maandishi
JF sio kama ilivyokuwa kaka. Si mods wala members wa kawaida kila mtu mtapwamtapwa sasa!