Mwenendo wa Gazeti Raia Mwema

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Kwa maoni yangu hili gazeti limeshapoteza mwelekeo. Tangu kipindi cha uchaguzi walionesha msimamo wao wa kiitikadi na kuiponda sana UKAWA. Msimamo huo wameendelea nao hata baada ya uchaguzi. Leo magazeti mengi yameripoti juu ya uchaguzi wa Umeya Dar (ukurasa wa mbele) isipokua gazeti hili la Jenerali Ulimwengu.

Magazeti mengi yameifanya habari ya Umeya wa Dar kuwa Lead Story, Anchor story or Strap story ktk ukurasa wao wa mbele. Kwa kifupi yameifanya issue ya Umeya kuwa habari ya kuuzia gazeti. Lakini Raia Mwema ni kama vile hawaishi Dar wala hawajui kinachoendelea.

Hivi habari kubwa kama hii ya Umeya unaachaje kuiripoti? Hasa ukizingatia ilikua na sintofahamu ya muda mrefu? Kumbuka uchaguzi wa Umeya Dar umefanyika mara 4 bila mafanikio mara ya 5 ndipo umefanikiwa. Je hii si habari?

Yani Raia Mwema wamempa coverage "Babu wa Loliondo" wakaacha kuzungumzia Umeya wa Dar?? Maajabu haya. Yani Babu wa Loliondo ana "make news" kuliko Issue ya Umeya Dar?

Nimegundua media zetu za kibongo bado zina safari ndefu sana. Zinaripoti kwa mahaba ya itikadi na si kwa weledi. Naamini CCM ingeshinda Umeya jana Raia Mwema wangeifanya hiyo habari kuwa habari kuu kwny ukurasa wa mbele.

Ni jambo la ajabu kwamba hata Habari Leo gazeti la serikali limeizidi Raia Mwema. Habari Leo angalau wameripoti kwnny ukurasa wa Mbele wakiandika "Dar mikononi mwa Chadema". Lakini Raia Mwema kimya kama vile Umeya hauwahusu. Kwa lugha rahisi ni kwamba Raia Mwema wameumia sana UKAWA kushinda Umeya wa Dar kuliko serikali ya CCM ilivyoumia.

Mahaba yanapozidi weledi ni tatizo kubwa ktk ulimwengu wa habari. Wenzetu Ulaya wanajua kuripoti kwa weledi. Linapokuja suala lenye maslahi kwa umma wote hulipa uzito bila kujali itikadi zao. Nimefatilia media za magharibi zote ziko busy na BRUSSELS Attack. Watu wanafanya live coverage, story analysis, wanafanya interview kuhusu hiyo attack.. yani wenzetu wanajua kutengeneza news na kuset agenda.

Lakini hapa bongo mahaba kwanza weledi badae. Angalia matukio ya hapa Nyumbani uone kipaumbele kiko wapi. Nakumbuka wakati Mv.Spice Islanders inazama Startv walikua wanaendelea na wallpaper yao, TBC wanagonga Bongo Flavour.. Who cares.?? Bado tuna safari ndefu sana.!

Malisa GJ.!
 
Mkuu magazeti mengi yako yamegawanyika kiitikadi,usitarajie kuona gazeti la uhuru na mzalendo likireport mazuri ya UKAWA vivyo hivyo usitegemee Mawio, mwanahalisi,na Tanzania daima kureport mazuri ya CCM na serikali.
Maslahi ya nchi yakowapi
 
Kwa maoni yangu hili gazeti limeshapoteza mwelekeo. Tangu kipindi cha uchaguzi walionesha msimamo wao wa kiitikadi na kuiponda sana UKAWA. Msimamo huo wameendelea nao hata baada ya uchaguzi. Leo magazeti mengi yameripoti juu ya uchaguzi wa Umeya Dar (ukurasa wa mbele) isipokua gazeti hili la Jenerali Ulimwengu.

Magazeti mengi yameifanya habari ya Umeya wa Dar kuwa Lead Story, Anchor story or Strap story ktk ukurasa wao wa mbele. Kwa kifupi yameifanya issue ya Umeya kuwa habari ya kuuzia gazeti. Lakini Raia Mwema ni kama vile hawaishi Dar wala hawajui kinachoendelea.

Hivi habari kubwa kama hii ya Umeya unaachaje kuiripoti? Hasa ukizingatia ilikua na sintofahamu ya muda mrefu? Kumbuka uchaguzi wa Umeya Dar umefanyika mara 4 bila mafanikio mara ya 5 ndipo umefanikiwa. Je hii si habari?

Yani Raia Mwema wamempa coverage "Babu wa Loliondo" wakaacha kuzungumzia Umeya wa Dar?? Maajabu haya. Yani Babu wa Loliondo ana "make news" kuliko Issue ya Umeya Dar?

Nimegundua media zetu za kibongo bado zina safari ndefu sana. Zinaripoti kwa mahaba ya itikadi na si kwa weledi. Naamini CCM ingeshinda Umeya jana Raia Mwema wangeifanya hiyo habari kuwa habari kuu kwny ukurasa wa mbele.

Ni jambo la ajabu kwamba hata Habari Leo gazeti la serikali limeizidi Raia Mwema. Habari Leo angalau wameripoti kwnny ukurasa wa Mbele wakiandika "Dar mikononi mwa Chadema". Lakini Raia Mwema kimya kama vile Umeya hauwahusu. Kwa lugha rahisi ni kwamba Raia Mwema wameumia sana UKAWA kushinda Umeya wa Dar kuliko serikali ya CCM ilivyoumia.

Mahaba yanapozidi weledi ni tatizo kubwa ktk ulimwengu wa habari. Wenzetu Ulaya wanajua kuripoti kwa weledi. Linapokuja suala lenye maslahi kwa umma wote hulipa uzito bila kujali itikadi zao. Nimefatilia media za magharibi zote ziko busy na BRUSSELS Attack. Watu wanafanya live coverage, story analysis, wanafanya interview kuhusu hiyo attack.. yani wenzetu wanajua kutengeneza news na kuset agenda.

Lakini hapa bongo mahaba kwanza weledi badae. Angalia matukio ya hapa Nyumbani uone kipaumbele kiko wapi. Nakumbuka wakati Mv.Spice Islanders inazama Startv walikua wanaendelea na wallpaper yao, TBC wanagonga Bongo Flavour.. Who cares.?? Bado tuna safari ndefu sana.!

Malisa GJ.!
Kumbe ulitaka aandike unachokifikiria magazeti yenu mbona ayapongezi ushindi wa zanzbar wa dr shein
 
Nakumbuka wakati Mv.Spice Islanders inazama Startv walikua wanaendelea na wallpaper yao said:
Bongo Flavour[/COLOR].. Who cares.?? Bado tuna safari ndefu sana.!

Malisa GJ.!
Nakumbuka walikuwa wanapiga taarabu!!! sio bongo flavour!!
 
Kwa maoni yangu hili gazeti limeshapoteza mwelekeo. Tangu kipindi cha uchaguzi walionesha msimamo wao wa kiitikadi na kuiponda sana UKAWA. Msimamo huo wameendelea nao hata baada ya uchaguzi. Leo magazeti mengi yameripoti juu ya uchaguzi wa Umeya Dar (ukurasa wa mbele) isipokua gazeti hili la Jenerali Ulimwengu.

Magazeti mengi yameifanya habari ya Umeya wa Dar kuwa Lead Story, Anchor story or Strap story ktk ukurasa wao wa mbele. Kwa kifupi yameifanya issue ya Umeya kuwa habari ya kuuzia gazeti. Lakini Raia Mwema ni kama vile hawaishi Dar wala hawajui kinachoendelea.

Hivi habari kubwa kama hii ya Umeya unaachaje kuiripoti? Hasa ukizingatia ilikua na sintofahamu ya muda mrefu? Kumbuka uchaguzi wa Umeya Dar umefanyika mara 4 bila mafanikio mara ya 5 ndipo umefanikiwa. Je hii si habari?

Yani Raia Mwema wamempa coverage "Babu wa Loliondo" wakaacha kuzungumzia Umeya wa Dar?? Maajabu haya. Yani Babu wa Loliondo ana "make news" kuliko Issue ya Umeya Dar?

Nimegundua media zetu za kibongo bado zina safari ndefu sana. Zinaripoti kwa mahaba ya itikadi na si kwa weledi. Naamini CCM ingeshinda Umeya jana Raia Mwema wangeifanya hiyo habari kuwa habari kuu kwny ukurasa wa mbele.

Ni jambo la ajabu kwamba hata Habari Leo gazeti la serikali limeizidi Raia Mwema. Habari Leo angalau wameripoti kwnny ukurasa wa Mbele wakiandika "Dar mikononi mwa Chadema". Lakini Raia Mwema kimya kama vile Umeya hauwahusu. Kwa lugha rahisi ni kwamba Raia Mwema wameumia sana UKAWA kushinda Umeya wa Dar kuliko serikali ya CCM ilivyoumia.

Mahaba yanapozidi weledi ni tatizo kubwa ktk ulimwengu wa habari. Wenzetu Ulaya wanajua kuripoti kwa weledi. Linapokuja suala lenye maslahi kwa umma wote hulipa uzito bila kujali itikadi zao. Nimefatilia media za magharibi zote ziko busy na BRUSSELS Attack. Watu wanafanya live coverage, story analysis, wanafanya interview kuhusu hiyo attack.. yani wenzetu wanajua kutengeneza news na kuset agenda.

Lakini hapa bongo mahaba kwanza weledi badae. Angalia matukio ya hapa Nyumbani uone kipaumbele kiko wapi. Nakumbuka wakati Mv.Spice Islanders inazama Startv walikua wanaendelea na wallpaper yao, TBC wanagonga Bongo Flavour.. Who cares.?? Bado tuna safari ndefu sana.!

Malisa GJ.!
Kuna tofauti kubwa sana kati ya gazeti litolewalo kwa wiki mara moja (la kila wiki mfano Raia Mwema na Dira) na gazeti litolewalo kila siku (gazeti la kila siku mfano Tanzania Daima na Uhuru)...
 
sidhani kama wataandika kuhusu ukawa hasa wakikumbukwa walivyochuuzwa na salva rweymamu kuliuza rai kwa mafisadi huku mwenzao akizawadiwa cheo na pia ni miongoni mwa magazeti machache ambayo fisadi lowasa alishindwa kununua waandishi wake
 
Asilimia kubwa ya vyombo vya habari Tanzania hutumika kisiasa, wamiliki wakiwa na malengo fulani.
Usisahau kuwa kufanikiwa katika siasa zetu inabidi kujikomba na kuponda upande wa pili!
 
Ndio maana wengine wameamua kuweka na Maigizo wakiwa na wandishi wa habari
 
Chadema kwa kulialia.. Ishu ya meya wa jiji sio Habari.. Kila mtu alijua uchaguzi ukifanyika chadema itashinda.. Sasa ulitaka nini kwa habari ambayo sio habari
 
Back
Top Bottom