Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,206
- 5,074
Nyumbu hana akili mkuuPro-Chadema bana wanataka suala Meya liwe suala la kitaifa kila gazeti liandike.

Kwa maoni yangu hili gazeti limeshapoteza mwelekeo. Tangu kipindi cha uchaguzi walionesha msimamo wao wa kiitikadi na kuiponda sana UKAWA. Msimamo huo wameendelea nao hata baada ya uchaguzi. Leo magazeti mengi yameripoti juu ya uchaguzi wa Umeya Dar (ukurasa wa mbele) isipokua gazeti hili la Jenerali Ulimwengu.
Magazeti mengi yameifanya habari ya Umeya wa Dar kuwa Lead Story, Anchor story or Strap story ktk ukurasa wao wa mbele. Kwa kifupi yameifanya issue ya Umeya kuwa habari ya kuuzia gazeti. Lakini Raia Mwema ni kama vile hawaishi Dar wala hawajui kinachoendelea.
Hivi habari kubwa kama hii ya Umeya unaachaje kuiripoti? Hasa ukizingatia ilikua na sintofahamu ya muda mrefu? Kumbuka uchaguzi wa Umeya Dar umefanyika mara 4 bila mafanikio mara ya 5 ndipo umefanikiwa. Je hii si habari?
Yani Raia Mwema wamempa coverage "Babu wa Loliondo" wakaacha kuzungumzia Umeya wa Dar?? Maajabu haya. Yani Babu wa Loliondo ana "make news" kuliko Issue ya Umeya Dar?
Nimegundua media zetu za kibongo bado zina safari ndefu sana. Zinaripoti kwa mahaba ya itikadi na si kwa weledi. Naamini CCM ingeshinda Umeya jana Raia Mwema wangeifanya hiyo habari kuwa habari kuu kwny ukurasa wa mbele.
Ni jambo la ajabu kwamba hata Habari Leo gazeti la serikali limeizidi Raia Mwema. Habari Leo angalau wameripoti kwnny ukurasa wa Mbele wakiandika "Dar mikononi mwa Chadema". Lakini Raia Mwema kimya kama vile Umeya hauwahusu. Kwa lugha rahisi ni kwamba Raia Mwema wameumia sana UKAWA kushinda Umeya wa Dar kuliko serikali ya CCM ilivyoumia.
Mahaba yanapozidi weledi ni tatizo kubwa ktk ulimwengu wa habari. Wenzetu Ulaya wanajua kuripoti kwa weledi. Linapokuja suala lenye maslahi kwa umma wote hulipa uzito bila kujali itikadi zao. Nimefatilia media za magharibi zote ziko busy na BRUSSELS Attack. Watu wanafanya live coverage, story analysis, wanafanya interview kuhusu hiyo attack.. yani wenzetu wanajua kutengeneza news na kuset agenda.
Lakini hapa bongo mahaba kwanza weledi badae. Angalia matukio ya hapa Nyumbani uone kipaumbele kiko wapi. Nakumbuka wakati Mv.Spice Islanders inazama Startv walikua wanaendelea na wallpaper yao, TBC wanagonga Bongo Flavour.. Who cares.?? Bado tuna safari ndefu sana.!
Malisa GJ.!
Zanzibar vipiPro-Chadema bana wanataka suala Meya liwe suala la kitaifa kila gazeti liandike.

Uchaguzi uliowekwa kwapani na Lumumba?Gazeti la Raia Mwema si Gazeti la kukopi tu habar ni Gazeti lenye kufanya uchambuz na haliji na title unazotaka wewe ambazo kila mtu anakuja nazo.Subir watakuja na Uchambuz wa Habar yako unayotaka utaanza kupiga kelele tena. Alafu unaweza ukaandika na wewe ukawatumia wakachapisha c kupga mayoe humu.
Yenye kupata habari LumumbaMLeta mada kichwa maji kweli unashndwa kutofoutisha kati ya magazeti ya kila siku na magezeti ya wiki?raia mwema nagazeti linalotoka kwa wiki mara moja kwahyo habari zake zimeshaandaliwa kabla.
Fisi anasubiri KinyesiNyumbu hana akili mkuu
Bange za old moshi hizooFisi anasubiri Kinyesi
Licha ya hayo, hilo gazeti siku hizi limepoteza dira.Habari Leo wanajikosha tu baada ya kupondwa hapa JF.
Kuhusu Rai Mwema nadhani tatizo ni kuwa hilo si gazeti la kutoka kila siku hivyo huenda lilishaandaliwa kutoka kama lilivyotoka.Yaani haliripoti habari za kila siku
Lakini hatufundishwi itikadiKila newsroom ina Sera yake, huko shule huwa mnapita kufanya nini kama ishu ya Sera tu hujui?
Kwa maoni yangu hili gazeti limeshapoteza mwelekeo. Tangu kipindi cha uchaguzi walionesha msimamo wao wa kiitikadi na kuiponda sana UKAWA. Msimamo huo wameendelea nao hata baada ya uchaguzi. Leo magazeti mengi yameripoti juu ya uchaguzi wa Umeya Dar (ukurasa wa mbele) isipokua gazeti hili la Jenerali Ulimwengu.
Magazeti mengi yameifanya habari ya Umeya wa Dar kuwa Lead Story, Anchor story or Strap story ktk ukurasa wao wa mbele. Kwa kifupi yameifanya issue ya Umeya kuwa habari ya kuuzia gazeti. Lakini Raia Mwema ni kama vile hawaishi Dar wala hawajui kinachoendelea.
Hivi habari kubwa kama hii ya Umeya unaachaje kuiripoti? Hasa ukizingatia ilikua na sintofahamu ya muda mrefu? Kumbuka uchaguzi wa Umeya Dar umefanyika mara 4 bila mafanikio mara ya 5 ndipo umefanikiwa. Je hii si habari?
Yani Raia Mwema wamempa coverage "Babu wa Loliondo" wakaacha kuzungumzia Umeya wa Dar?? Maajabu haya. Yani Babu wa Loliondo ana "make news" kuliko Issue ya Umeya Dar?
Nimegundua media zetu za kibongo bado zina safari ndefu sana. Zinaripoti kwa mahaba ya itikadi na si kwa weledi. Naamini CCM ingeshinda Umeya jana Raia Mwema wangeifanya hiyo habari kuwa habari kuu kwny ukurasa wa mbele.
Ni jambo la ajabu kwamba hata Habari Leo gazeti la serikali limeizidi Raia Mwema. Habari Leo angalau wameripoti kwnny ukurasa wa Mbele wakiandika "Dar mikononi mwa Chadema". Lakini Raia Mwema kimya kama vile Umeya hauwahusu. Kwa lugha rahisi ni kwamba Raia Mwema wameumia sana UKAWA kushinda Umeya wa Dar kuliko serikali ya CCM ilivyoumia.
Mahaba yanapozidi weledi ni tatizo kubwa ktk ulimwengu wa habari. Wenzetu Ulaya wanajua kuripoti kwa weledi. Linapokuja suala lenye maslahi kwa umma wote hulipa uzito bila kujali itikadi zao. Nimefatilia media za magharibi zote ziko busy na BRUSSELS Attack. Watu wanafanya live coverage, story analysis, wanafanya interview kuhusu hiyo attack.. yani wenzetu wanajua kutengeneza news na kuset agenda.
Lakini hapa bongo mahaba kwanza weledi badae. Angalia matukio ya hapa Nyumbani uone kipaumbele kiko wapi. Nakumbuka wakati Mv.Spice Islanders inazama Startv walikua wanaendelea na wallpaper yao, TBC wanagonga Bongo Flavour.. Who cares.?? Bado tuna safari ndefu sana.!
Malisa GJ.!
Unatumia macho ya fisi kutazamambona hujalalamikia Tanzania Daima kila siku inaandika kwa ushabiki wa ukawa dhidi ya serikali bila kujali ukweli?
Unatumia macho ya fisi kutazama
Hayo ni kwamujibu wa waono ya ufisini aka LumumbaHaya uliyoyaona kwa Raia mwema ya leo ulitakiwa uwe umeshayaona tangu wakati wa kampeni. Haya magazeti yaliyoweka vichwa vya habari kuhusiana na ukawa kushinda umeya, ndio yaliyokuwa mstari wa mbele kumuuza Lowassa, hata wakati ule ambapo mgombea huyo alikuwa anakwenda kwenye kampeni kwa helikopta halafu bado anashindwa kuhutubia, bado vichwa vya habari vilikuwa vinaonyesha kana kwamba CCM inakwenda kushindwa vibaya sana.
Hizo ndizo siasa za bongo, media yetu haina nguvu kwa wenye fedha. Kwa kifupi media yetu imepoteza maana halisi ua uhuru wa habari. Kila mwenye lengo fulani analolijua yeye moyoni mwake na akiwa na fedha zake nyingi tu, basi tegemea kusoma habari zitakazomuonyesha kuwa yeye ni kila kitu.
Haya ni madhara makubwa sana ya ufisadi kwenye umma, ukishanunua ushawishi kupitia media, utaoweka aina ya mfumo wa uongozi ambao utawabagua wale ambao sio watu wako wa karibu. Poor african countries.