Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,857
- 21,933
umesaahauuu weziwamifukoniii tenaaa mabintiii kabisaaa wazuriii usiniulize zaidiLeo nilipanda mwendo kasi pale Avalone mchana ya saa saba nikiwa na mpango nishuke fire and then nielekee kariakoo.. Matokeo yake kila likija bus limejaa balaa nikaona isiwe taabu nipande la kwenda kivukoni nigeuze nalo mziki ukawa dereva kafika ferry and kalipaki pembeni akashuka hapo tukabakia tumeduwaa muda ukazidi ikabidi tushuke wenyewe mlango Wa dereva mbele kushoto... Tukaingia bus lingine likaganda hapo kama hadi lika jaa jaa dereva akaingia sikustuka kama nalo dereva alishuka dah... Likaondoka nikafika jangwani nikashuka maana pale fire kulikuwa na nyomi... Nikapanda la gerezani limejaa hatari hewa ni shida kupumua pale fire napo likapakia for sure lilijaza kupiga Maelezo nilifika msimbazi sina hamu tena na mwendo kasi town to kariakoo nilitumia daki ka 45!!!!