Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,818
- 11,512
Kabisa!Wapewe Dubai Bus watuendeshee shirika hilo.
Sisi tunachofahamu ni wizi, kulewa na kucheza ngoma tu.
Kabisa!Wapewe Dubai Bus watuendeshee shirika hilo.
Sisi tunachofahamu ni wizi, kulewa na kucheza ngoma tu.
Unaweza kukuta hata nauli anaomba kwa Shemeji yakeAcha undezi, watu milioni 6 waliopo Dar wote wanunue magari inawezekana??
Mbona mnawapiga vita wakija ?Wawekezaji wenye mitaji mikubwa wanahitajika sana, katika kutatua hii kero
Jamani Mimi sikohuko. Ila nakumbuka mliletewa izo mwendokasi Ili kupunguza msongamani. Swali langu vipi bado hatujafikia lengo au tulishavuka lengo. Serikari inatengeneza tatizo, zen inataka iombwe msaada wa kutatua tatzo walilotengeneza wao kama ulivofanya mtoa mada. Na wakirekebsha wasifiwe. Why ? Bcoz wanawaongoza waafrika. Semi animal man. Kazi iendelee, yaani hapa kazi kazi tu, adi tuzisome namba. Zikiisha ndo akili itatukaa sawa.Tunaomba serikali iruhusu mabasi kwenye DART Mwendokasi ili kunusuru hali hii. Kituoni 2hrs na basi zimejaza balaa ni hatari, tunabana sana.
Ombi langu waziri wa tamisemi na naibu wake na katibu mkuu waje wapande Atleast once jioni au asubuhi, sababu wanapita kwenye V8 za milioni 500 kwenye barabara hizi kwahiyo hawawezi kujua tunayopitia kwakweli. Shame.
Kimasihara mkuu 😁😁😁WAARABU tusaidienii ndugu zetu mwendokasi unakufaaaa tunawapa mradii bureeeee waafrika wanaibaa sanaaa... hata BOT mkiitaka tutawapaa jamanii.
Kabisa,sisi ni kukata mauno tuWapewe Dubai Bus watuendeshee shirika hilo.
Sisi tunachofahamu ni wizi, kulewa na kucheza ngoma tu.
Ikitokea serikali imebinafsisha brt kuna watu watatokea na kuanza kutukana viongozi,wabongo tumeshindwa kujiendesha acha tuje kufundishwa namna watu wanavyowajibika,baada ya bandari kupewa mwarabu naomba sana atcl na mwendokasi wapewe watu wengine waziendesheTunaomba serikali iruhusu mabasi kwenye DART Mwendokasi ili kunusuru hali hii. Kituoni 2hrs na basi zimejaza balaa ni hatari, tunabana sana.
Ombi langu waziri wa tamisemi na naibu wake na katibu mkuu waje wapande Atleast once jioni au asubuhi, sababu wanapita kwenye V8 za milioni 500 kwenye barabara hizi kwahiyo hawawezi kujua tunayopitia kwakweli. Shame.
Shida bus azipiti kwa muda,wewe wa mbezi umepata bahati hiyo,vituo vya kati mtu anakaa hadi saa nzima au masaa mawili bila kupata usafiriSisi tunaopanda mbezi, kila siku tunajua mida yenye watu wengi na muda yenye watu wachache, ni kweli kuanzia saa moja hadi saa tatu asubuhi, na kuanzia saa tisa na nusu hadi 12 hivi watu ni wengi ila muda wa kati hapo watu ni wachache, foleni mnazoona ni za watu wanaotaka siti. Utaratibu upo hivi ukitaka siti una panga foleni, siti zikijaa wanaotaka kusimama ili wawahi ndio wanaopanda wawahi foleni mnazoona ni watu hawataki kusimama
Sisi tunachojua ni kukatika mauno tuHalafu wanakataa tusibaguliwe.
Ni kuwekwa sharia tu ndiyo dawa.
Waambie wakaibe Saudi Arabia. Si wapo Watsnzania huko, heshima na adabu.
Sgr yenyewe watafelimradi mdogo wa usafirishaji ndani ya jiji moja tu tumefeli,iyo sgr itakuaje sijui ngoja tuone.
Kwanini tusiwauzie waarabu wa Dubai wale jamaa wa bandariTunaomba serikali iruhusu mabasi kwenye DART Mwendokasi ili kunusuru hali hii. Kituoni 2hrs na basi zimejaza balaa ni hatari, tunabana sana.
Ombi langu waziri wa tamisemi na naibu wake na katibu mkuu waje wapande Atleast once jioni au asubuhi, sababu wanapita kwenye V8 za milioni 500 kwenye barabara hizi kwahiyo hawawezi kujua tunayopitia kwakweli. Shame.
Utawawekea tamasha watakatika na hapo hapo watakuibia.Sisi tunachojua ni kukatika mauno tu
We weka tamasha la wazi watu waje wakate mauno
Ova
Itawezekana kwa sababu miundo mbinu itakua inapanuliwa kadri magari yanavyozidi.Acha undezi, watu milioni 6 waliopo Dar wote wanunue magari inawezekana??
Tatizo sisi huwa tuna maneno mengi, na mambo mengi huwa hatuyaweki wazi kiutekelezajiMbona mnawapiga vita wakija ?
Hakuna daladala kutoka Mbezi kwenda Posta/ Kariakoo.Panda daladala zipo mbona za mbezi to city center