nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,920
- 2,529
Sisi tunaopanda mbezi, kila siku tunajua mida yenye watu wengi na muda yenye watu wachache, ni kweli kuanzia saa moja hadi saa tatu asubuhi, na kuanzia saa tisa na nusu hadi 12 hivi watu ni wengi ila muda wa kati hapo watu ni wachache, foleni mnazoona ni za watu wanaotaka siti. Utaratibu upo hivi ukitaka siti una panga foleni, siti zikijaa wanaotaka kusimama ili wawahi ndio wanaopanda wawahi foleni mnazoona ni watu hawataki kusimamaAbiria wanaotokea Mbezi ndio wanaopata shida ya usafiri kwenda City Center.