Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,754
- 5,175
Wazo zuriNunua gari tu mkuu
Wazo zuriNunua gari tu mkuu
Ngoja ukutane na wale vijanaNikaona huu ukenge, nikachukua boda, tukapita mule mule kwenye mwendo kasi.. nikafika salama namshukuru mungu.
Imagine mtu Ana kitambi Kama Cha komba na anastruggle kukubambia . That's bullshitUlichoka kubambiwa?
Hahahaha!. You would have referred to someone else than him please!. 🤣🤣🤣🤣Imagine mtu Ana kitambi Kama Cha komba na anastruggle kukubambia . That's bullshit
Chungu lakini dawaNunua gari tu mkuu
Watapanda 2025 endelea kusubir mkuu,kwasasa chagua kuacha kutumia ama endelea kupambana na izo changamoto km huna mbadala wakeTunaomba serikali iruhusu mabasi kwenye DART Mwendokasi ili kunusuru hali hii. Kituoni 2hrs na basi zimejaza balaa ni hatari, tunabana sana.
Ombi langu waziri wa tamisemi na naibu wake na katibu mkuu waje wapande Atleast once jioni au asubuhi, sababu wanapita kwenye V8 za milioni 500 kwenye barabara hizi kwahiyo hawawezi kujua tunayopitia kwakweli. Shame.
Usipande mwendo kasi wenzio tumeshaachana na huo upumbavu.Tunaomba serikali iruhusu mabasi kwenye DART Mwendokasi ili kunusuru hali hii. Kituoni 2hrs na basi zimejaza balaa ni hatari, tunabana sana.
Ombi langu waziri wa tamisemi na naibu wake na katibu mkuu waje wapande Atleast once jioni au asubuhi, sababu wanapita kwenye V8 za milioni 500 kwenye barabara hizi kwahiyo hawawezi kujua tunayopitia kwakweli. Shame.
Panda daladala zipo mbona za mbezi to city centerAbiria wanaotokea Mbezi ndio wanaopata shida ya usafiri kwenda City Center.
Ukiweka Bongo watu wataiba kila kitu
Waarabu wakipewa wanaweka na sheria ya wezi kukatwa mikono, wakikatwa wawili watatu mikono, wizi utakuwa historia.Ukiweka Bongo watu wataiba kila kitu
Watanzania na ngozi nyeusi popote pale duniani haina ustaarabuWaarabu wakipewa wanaweka na sheria ya wezi kukatwa mikono, wakikatwa wawili watatu mikono, wizi utakuwa historia.
Hali ya Hewa ni ngumu sana huko.
Duh! Hii inakuaje? kwa sisi wageni wa DarImagine mtu Ana kitambi Kama Cha komba na anastruggle kukubambia . That's bullshit
Halafu wanakataa tusibaguliwe.Watanzania na ngozi nyeusi popote pale duniani haina ustaarabu
Angalia hapo South
Nenda Marekani