Mwendokasi hali ni mbaya sana

Mwendokasi hali ni mbaya sana

Wapigwe tuu

Senior Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
173
Reaction score
224
Tunaomba serikali iruhusu mabasi kwenye DART Mwendokasi ili kunusuru hali hii. Kituoni 2hrs na basi zimejaza balaa ni hatari, tunabana sana.

Ombi langu waziri wa tamisemi na naibu wake na katibu mkuu waje wapande Atleast once jioni au asubuhi, sababu wanapita kwenye V8 za milioni 500 kwenye barabara hizi kwahiyo hawawezi kujua tunayopitia kwakweli. Shame.
 
Hii nayo km vp wamuuzie tu bakhresa wabinafsishe tu kwa mzawa kama vipi.

Mimi sipandi mwendo kasi nani anataka kubanana kuna siku nilikuwa naharaka Fanaleki 2 hours eti nasubiri gari la kivukoni kila linalopita Expres alafu na mishe ya pesa nikasemehe Tsh 650 [emoji2][emoji23] Ibinafsishwe tu au kama vipi watoe tender tu washindwanishe.
 
Tunaomba serikali iruhusu mabasi kwenye DART Mwendokasi ili kunusuru hali hii. Kituoni 2hrs na basi zimejaza balaaa ni hatari. Tunabanana sana

Ombi langu waziri wa tamisemi na naibu wake na katibu mkuu waje wapande Atleast once jioni au asubuhi. Cause wanapita kwenye V8 za 500Million kwenye barabara hizi so hawawezi kujua tunayopitia kwakweli. Shame

Leo hii asubuhi saa mbili kasoro morogoro road nimeshuhudia foleni ndefu sana vituoni.
Abiria wanaotokea Mbezi ndio wanaopata shida ya usafiri kwenda City Center.
 
Tuwauzie warabu
Wapewe tuu, ujinga wa UDART wanataka kufuata market trend, wakati wao wanapaswa kuwa pioneers wa huduma Bora, na ni shirika la serikali. Kwanza hawawezi kuanza tuu na kupata faida, wawe wavumilivu.

Walipaswa wawe na ratiba, na walau kwa miezi sita; magari yao yaende kwa kufuata ratiba bila kukosa, umma ndio utakaobadilika kufuata ratiba ya mabasi. Sio mabasi ndio yaanze kukaa yanangoja wasafiri ..hizo ni akili za kimachinga, hapaswi kufanywa na shirika kubwa tena backed by serikali.

Ni aibu kubwa kwa serikali na watendaji wake wenye mivyeti konki ya usafirishaji wanabehave km, mwinyiali wa Mabibo asiyeenda shule na daladala lake... It's pathetic
 
Back
Top Bottom