Mwendesha Mashtaka Mkuu ICC atua nchini

Mwendesha Mashtaka Mkuu ICC atua nchini

8E9U3819.jpg

Kikwete jeuri yote imepotea, angalia mhemo alio nao si wa kawaida.
 
kutokana na timing ya ujio huo haihitaji unajimu kujua kuwa hii safari ya maandalizi ya kufanya kazi na Serikali ya Jubilee hapo Kenya itakayoongozwa na watuhumiwa wa ICC Uhuru Kenyatta na William Rutto, hasa kumuomba Kikwete ahakikishe hawa viongozi wanaendelea kushirikiana na ICC ata baada ya kuikamata nchi.
 
Mwanzo mzuri,ujio wa huyu mwendesha mashtaka mkuu wa icc lazima una jambo! Tutasikia kadiri siku zinavyokwenda.
 
Hapa kwa hisia zangu kuna mawili. Mosi, huyo mama wamemtuma wazungu kuongea na Kikwete kuhusu kuhamishia kesi ya wa Kenya kuwa iwe inafanyikia Arusha badala ya the Hague, wanajiandaa incase Uhuru anashinda kwenda Ulaya kuhudhuria kesi itakuwa ni mbali sana na Arusha itakuwa rahisi kwani anaenda mahakamani asubuhi, Mchana anarudi Ikulu Nairobi. Wazungu ni wanafiki sana wanamaslahi yao Kenya hivyo hawaweizi kuiwekea Kenya vikwazo hivyo wanatafuta namna ya kuishi na "Shetani. Mind you Mwaikibaki was there just few days ago.
Pili ndiyo hili mnalolisema wenzangu kuwa wamemtuma kuongea na Kikwete kuhusu madai yaliyotumwa na kituo cha Sheria na haki za binadamu. Lets wait and see
 
Aliyefungua kesi hiyo kutoka kituo cha haki za binadamu nchini ni Mwanamke na huyo Mwendesha mashtaka kutoka huko ni Mwanamke pia naona ngoma nzito kwa Kiwete, makoti yanaanza kupwaya.

leo binsouda anakutana na helen binsimba pale maelezo.
 
Eeh, huyu jamaa sidhani kama kasomea sheria kweli, maana hata kutoa argument hajui-Kwa hiyo moja kati ya majukumu yake ni kutembelea nchi na kusalimia mara tu baada ya kuteuliwa!?

Mwanasheria mkuu wa Serikali!!!!!!!!!!!!!!,hivi alipaswa kupewa nafasi hii kweli?
 
Malaika Israeli mtoa roho kaja kumsalimia binadamu... alafu binadamu huyo anajisifu kupata 'mgeni mwema'...
Subirini akirudi kwao akadiscuss na vimalaika vyake, then kaz mtaisikia...

...Umeona mbali....kodi za ICC huwa sio kodi za kutalii ...!!!

niliona picha za ikulu JK ametoa macho kama kaona kimondo ..kwani Ocampo naye aliwahi kuja kuisalimia Tz? haya chacha
 
Kikwete anapumulia mashine na akina Kamuhanda wake.
 
Jangakuu JK makazi yako yatakuwa HAGUE!! maushahidi kibao! hata ninayo karibu 130 yasiyo na ubishi kuwa uko nyuma ya mauaji ya watz! Buriani JK
 
Last edited by a moderator:
vichwa vya watu vinatafutwa hapo!...uharo ushaanza kuwatoka watu wa sirikali!
 
Werema ovyo kabisa yaani ICC prosecutor aje kusalimia tu??!! Basi wewe na presidaa mfunge safari kwenda kumsalimia na yeye akirudi Den Haag!!
 
Hivi huyu mama ana wadhifa wa ukuu wa nchi-hadi atembelee nchi? hivi ameishatembelea nchi ngapi za Afrika (kwa ziara kama hii) tangu ameteuliwa? Hivi yule jamaa Moreno O'Campo alishawahi tembelea Tanzania kweli mara alipoteuliwa hadi anaacha utumishi? Werema bwana..Mungu amsaidie

Eeh, huyu jamaa sidhani kama kasomea sheria kweli, maana hata kutoa argument hajui-Kwa hiyo moja kati ya majukumu yake ni kutembelea nchi na kusalimia mara tu baada ya kuteuliwa!?
 
Hapa kwa hisia zangu kuna mawili. Mosi, huyo mama wamemtuma wazungu kuongea na Kikwete kuhusu kuhamishia kesi ya wa Kenya kuwa iwe inafanyikia Arusha badala ya the Hague, wanajiandaa incase Uhuru anashinda kwenda Ulaya kuhudhuria kesi itakuwa ni mbali sana na Arusha itakuwa rahisi kwani anaenda mahakamani asubuhi, Mchana anarudi Ikulu Nairobi. Wazungu ni wanafiki sana wanamaslahi yao Kenya hivyo hawaweizi kuiwekea Kenya vikwazo hivyo wanatafuta namna ya kuishi na "Shetani. Mind you Mwaikibaki was there just few days ago.
Pili ndiyo hili mnalolisema wenzangu kuwa wamemtuma kuongea na Kikwete kuhusu madai yaliyotumwa na kituo cha Sheria na haki za binadamu. Lets wait and see

Uwezekano huo ni mkubwa kutokana na kuwa na kesi nyingine inayoihusu Tanzania, bora kuweka kituo kimoja.
 
Hicho kituo cha haki za binadamu kinajipendekeza kipate fedha za wahisani.wapo tayari kuudharirisha utanzania kwa kuchapisha majarida,kuhifadhi dvd na kuzipeleka kwa wazungu ili wapewe fedha,sijaona uanaharakati zaidi ya uchwara na usanii.
 
Back
Top Bottom