Mwendesha Mashtaka Mkuu ICC atua nchini

Mwendesha Mashtaka Mkuu ICC atua nchini

Wabongo bana,
Haendi mtu yeyote Netherlands!
Kwenye scale ya Gross human right abuse Africa achalia mbali duniani, Tanzania bado ni maraika na kikubwa zaidi, nchi na makampuni ya wakubwa wa magharibi yanapata kila kile wakitakacho (exploitative investment).
Kushangilia ni kama kupiga ngoma isiyokuwa na wachezaji
Unadhani kufika tha hegi ni lazima mauaji ya kimbari?, na wewe unaamini blabla za werema kuwa Bensouda amekuja kusalimia nyumbani, hivi ni mtanzania?, Mataifa ya magharibi hawafumbii macho ukiukwaji wa haki za binadamu hata katika nchi wanazonufaika nazo. Sio kama China.
 
Malaika Israeli mtoa roho kaja kumsalimia binadamu... alafu binadamu huyo anajisifu kupata 'mgeni mwema'...
Subirini akirudi kwao akadiscuss na vimalaika vyake, then kaz mtaisikia...

mkuu umenena. kama kaja kusalimia mbona hakuongea na press? pia hana kazi za kufanya the hague sasa anatembelea nchi mbali mbali kusalimu. mbona ocampo hajawahi kuja tz kusalimu hadi anamaliza tenure yake?

ukweli unabaki palepale kuwa kaja kuanza kuyapatia ufumbuzi yale mashtaka ya mwangosi etal. amekuja kuwasikiliza upande wa serikali then anaendelea na hatua nyingine.
 
Amekuja kusalimia?!

Inawezekana kaja kusalimia na kujadili issues nyingine,mfano pengine kama ICC inaweza tumia facilities za ICTR pale Arusha ktk kusikiliza kesi za Uhalifu wa Vita zinazo wakabili baadhi ya Wakenya! Lakini tukumbuke huyu mama amewahi ishi hapa,kule Arusha akiwa wakili mwandamizi ktk ofisi ya mwendesha mashitaka mkuu wa ICTR.
 
Chadema kama kawaida yao wanaendelea kujiliwaza na kujifariji.

Hivi Chadema mnaamini mabadiliko yataletwa na ICC.

Kuna rais Tanzania kauwa kama Benjamini Mkapa piga risasi wapemba kwenye maandamo ICC wamefanya nini mpaka leo, Museveni, Kagame, Kabila, Kibaki, Mugabe, ICC wamefanya nini. Miafrika bana.
Mkapa kupiga risasi wapemba haimhalalishii kikwete, na kama unadhani ICC haiwezi kusaidia, toa pendekezo nini kifanyike, kuponda tu CHADEMA na kubeza ICC haisadii ni bora kukaa kimya.
 
Fatou Bensouda alikuja kwenye mkutano juu ya Africa na ICC; 10 years on! Ulioandaliwa na Africa Legal Aid. Tulifanyia mkutano huo SnowCrest Hotel tar 28 & 1. Kwa kuwa ana hadhi ya kidiplomasia na kuwa alishapata barua ya LHRC, ulikuwa ni busara akutane na Mr. Dhaifu.
 
Tetesi zinadai kaja kuchek uwezekano wa kuhamishia kesi ya kina uhuru pale arusha ktk mahakama ya ICTR..., watu mekazana eti pressure,mtakufa nyie na vihoro kuona watu wanaendelea kuongoza bila mushkeli...
 
Unadhani kufika tha hegi ni lazima mauaji ya kimbari?, na wewe unaamini blabla za werema kuwa Bensouda amekuja kusalimia nyumbani, hivi ni mtanzania?, Mataifa ya magharibi hawafumbii macho ukiukwaji wa haki za binadamu hata katika nchi wanazonufaika nazo. Sio kama China.
Hivi china na Tanzania, ipi nchi inayoongoza kwa ukandamizaji wa haki za binadamu. Umeisha sikia wanasema kuhusu Viongozi wa china kupelekwa Holand ili wakashitakiwe?. Hili ndiyo litakupa mwanga wa nini ninachokisema.
 
Ni move nzuri kuelekea tunakotaka kwenda. Uzuri kuna mafaili ya mashita kwa serikali yetu huko kwao, tunategemea majibu mara atakaporudi huko The Hague
 
Hivi china na Tanzania, ipi nchi inayoongoza kwa ukandamizaji wa haki za binadamu. Umeisha sikia wanasema kuhusu Viongozi wa china kupelekwa Holand ili wakashitakiwe?. Hili ndiyo litakupa mwanga wa nini ninachokisema.
Kutoshtakiwa kwa viongozi wa china sio sababu nzuri ya kutetea ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania. Ninaamini unajua kuwa kuna nchi wanachama na wasio wanachama wa mahakama hii, hii ni suala la msingi kulijua ili kuepusha propaganda mbaya kwamba mahakama hii inaonea africa.
 
Wabongo bana,
Haendi mtu yeyote Netherlands!
Kwenye scale ya Gross human right abuse Africa achalia mbali duniani, Tanzania bado ni maraika na kikubwa zaidi, nchi na makampuni ya wakubwa wa magharibi yanapata kila kile wakitakacho (exploitative investment).
Kushangilia ni kama kupiga ngoma isiyokuwa na wachezaji

.......

Uwezekano mkubwa anafuatilia maombi ya kuhamisjia kesi ya Wakenya wanne Arusha. Haya mengine ni speculation isiyo na msingi na sijui kwa nini gazeti hili limeamua kuandika hivyo!
 
ICTR imashaanza kufungwa na wiki ijayo wanaanza ku-dismantle one of the court room. Kesi ambazo hazikuanza zimekuwa transferred Ufaransa na Rwanda, majaji walobaki ni wa rufani kwa ajili ya kusikiliza rufaa ambazo lazima ziwe over by mid-2014. Hivyo ICTR itafungwa rasmi 2014; Then tetesi kwamba alikuja kuangalia uwezekano wa kuwahamishia akina Uhuru si sahihi.
 
Bora wewe umetupa vya jikoni
 
Kutoshtakiwa kwa viongozi wa china sio sababu nzuri ya kutetea ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania. Ninaamini unajua kuwa kuna nchi wanachama na wasio wanachama wa mahakama hii, hii ni suala la msingi kulijua ili kuepusha propaganda mbaya kwamba mahakama hii inaonea africa.
Sitetei ukiukwaji wa haki za binadamu ila ninasema hizo haki za binadamu kwa nini zina apply kwa nchi fulani tu na siyo dunia nzima kuonesha natural justice.
Unakumbuka kwenye Utawala wa Mkapa, Nchi ya Marekani ilizishinikiza nchi nyingi duniani kusaini mkataba na Marekani kwamba Mwanajeshi/wanajeshi wao kama atafanya makosa na kukandamiza haki ya binadamu wa nchi nyingine, asishitakiwe katika nchi hiyo bali apelekwe Marekani kwenda kushitakiwa. Nchi nyingi ilibidi zi-sign kwa vile ziliambiwe kama hazitafanya hivyo basi zitakatiwa misaada. Hata Marekani, Israel na Sudan mpaka sasa siyo signatory wa mahakama hii. Hii sasa ni nini?.
 
Amekuja kumsalimia Dhaifu!!!!!???? Dhaifu kampa zawadi gani??
 
Jana Rais Jakaya Kikwete alikutana na Bensouda na kufanya mazungumzo na baadaye walipiga picha za pamoja nje ya Viwanja vya Ikulu, akiwa pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Eliezer Feleshi.

Hapo kuna jambo, wakija Wachina na Waarabu hapo Ikulu anaongea nao mwenyewe bila kumshirikisha waziri wala naibu; lakini kwa huyo mrithi wa Ocampo imebidi aite wataalamu wake ili mambo yasije yakamwendea kombo pasipo kujua.
 
Uwezekano mkubwa anafuatilia maombi ya kuhamisjia kesi ya Wakenya wanne Arusha. Haya mengine ni speculation isiyo na msingi na sijui kwa nini gazeti hili limeamua kuandika hivyo!

Watanzania tunaongoza kwa kutengeneza habari za majungu. Kwa uchakachuaji wa mambo tuko juu kileleni.
Huwezi kusikia kwenye majiko ya nchi za magharibi wanaongelea kama Tanzania inaongelewa kuhusu wananchi kunyimwa haki zao.

Worst of the Worst 2012: The World's Most Repressive Societies

Dr. Ebrahim Othman

More than 1.6 billion people-23 percent of the world's population-have no say in how they are governed and face severe consequences if they try to exercise their most basic rights, such as expressing their views, assembling peacefully, and organizing independently of the state. Citizens who dare to assert their rights in these repressive countries typically suffer harassment and imprisonment, and often are subjected to physical or psychological abuse. In these countries, state control over public life is pervasive, and individuals have little if any recourse to justice for crimes the state commits against them.

In this year's Worst of the Worst report, nine countries were identified by Freedom House as being the world's worst human rights abusers in calendar year 2011: Equatorial Guinea, Eritrea, North Korea, Saudi Arabia, Somalia, Sudan, Syria, Turkmenistan, and Uzbekistan. Two disputed territories, Tibet and Western Sahara, were also in this category. All of these countries and territories received Freedom in the World's lowest ratings: 7 for political rights and 7 for civil liberties (based on a 1 to 7 scale, with 1 representing the most free and 7 the least free). Within these entities, political opposition is banned, criticism of the government is met with retribution, and independent organizations are suppressed.

Seven other countries fall just short of the bottom of Freedom House's ratings: Belarus, Burma, Chad, China, Cuba, Laos, and Libya. The territory of South Ossetia also is part of this group. All eight, which received ratings of 7 for political rights and 6 for civil liberties, offer very limited scope for independent discussion. They severely suppress opposition political activity, impede independent organizations, and censor or punish criticism of the state.
 
Back
Top Bottom