Mwendelezo wa kesi ya kupinga ubunge wa Lema - Arusha

Huko nje ya mahakama wananchi wameanza kuimba wanataka spika kujua kinachoendelea.
 
niko hapa kwenye viwanja vya mahakama watu ni wengi pamoja na kwamba wengi walishaondoka...watu wanasema patachimbika..polisi ni wengi akiwemo ocd Zuberi..
 
hali hapo nje ikoje..watu wanadai spika bado? kwa kuwa umeongeza hapo mahakamani basi saidiana na ngurati
 
Hao Magamba wana weweseka sana,na hata kesi hiyo imewapata tumbo joto sijui kwa nini,nadhani kinachowauma sana ni ilie hali ya watu wengi kwenda kumpa support mbunge wao,nalo hilo linawauma sana,na kingine wanafanya uchokozi ili watengeneze kesi nyingine.
sio siri natamani hata leo haya manyang'au na chama chao cha ccm kife.
 
hali hapo nje ikoje..watu wanadai spika bado? kwa kuwa umeongeza hapo mahakamani basi saidiana na ngurati

kwasasa wangi wame kaa wakisubiria kujuzwa kinachoendelea ndani ila kuna askari kanzu waliojichanganya na wana cdm wamelishitukia hilo wakaona wakiendelea kupiga kelele kuna dalili za baadi yao kukamatwa...
 
Wakili wa utetezi amemwomba jaji kupima uzito wa kesi na Kauli ambazo zimetolewa na viongozi wa juu wa ccm na ajiyoe kusikiliza kesi hii ili kuonfoa doubts.

On the side,
kwa kifupi jaji huyu anaitwa mujuluzi na ni mmoja wa wamiliki wa IMMA ADVOCATEs , inamilikiwa na watu hawa, IShengoma, Mujuluzi, Masha Laurence. Majina Yao ndo yanaunda imma advocates. Kumbukeni ridhiwani kikwete ni sehemu ya imma advocates, na masha ni Jada wa ccm, na walisimamia kesi ya deep green. Nawasiliaha
 
Hapa ndipo patamu!
 
Ahsante mkuu kwa taarifa.

Hapo pa jaji kupima ndio penyewe, akipima na kufanya uamuzi kama lowasa atakuwa amejitendea haki kabisa.
 
wakili wa utetezi anasema haiwezekani tuache kuzitilia maanani kauli za viongozi wakubwa wa chama cha siasa ccm ilhali hii ni kesi ya uchaguzi. Anasema mh jaji akumbuke kuwa aliwaagiza hata waandishi wa Jabari tar 17 oct mwaka huu kuwa waandike kola kitu kwa usahihi ikiwepo majina ya mawakili. Sasa itakuwaje majina tu ya mawakili yasisitizwe kuandikwa kwa usahihi lakini kauli kubwa za kutangaza ushindi wa kesi ambayo still inaendelea isipewe uzito.
Kauli hizi zinamfanya Lena na wafuasi wa Chadema kupata wasiwasi kuwa pengine tayari maamuzi au hukumu inajulikana au wanataka Kim-influence jaji kwenye maamuzi.
 
Wakili anaendelea ku-site some previous cases Kama mifano. Na anasisitiza kwamba haitoshi kuyenda haji Bali haki ionekane kwamba imetendeka.
 
zitto anaendelea vizuri sana , Hongereni machalii huko kamaa eni hata ikiwezekana vijana wote wanaolumbana kuhusu UVCCM wahamisheni wote kwa kuwabatiza kiisilamu au kikiristo kuhakikisha wanapambana kuikomboa nchi hii
 
Back
Top Bottom