Mwendelezo wa kesi ya kupinga ubunge wa Lema - Arusha

Jamani naomba mwenye link ya gazeti hilo au aliye na kopi yake aibandike hapa.

Hii kauli aliitoa siku ile ya mapokezi ya Kafumu dar....Dah! jamaa hajajua athari ya maneno yake....net time atajifunza, ila kama aliweza kuikana ID yakeya JF, usishangaa akikana kuyasema hayo.
 
Nnauye atema cheche Dar

Mnauye alisema kwa sasa wapo katika mchakato wa kwenda kupiga kambi katika mkoa wa Arusha ili waweze kulichukua jimbo hilo.
Alisema wana uhakika wa kushinda kesi yao dhidi Mbunge wa jimbo hilo, Godbless Lema (Chadema) na kulichukua jimbo hilo uchaguzi utakapofanyika.
Nashukuru T.K.​
 
Hii kauli aliitoa siku ile ya mapokezi ya Kafumu dar....Dah! jamaa hajajua athari ya maneno yake....net time atajifunza, ila kama aliweza kuikana ID yakeya JF, usishangaa akikana kuyasema hayo.

itafutwe hotuba nzima aliyotoa nina imani wapo waliorekodi
 
mhhh nimeambulia patupu hata taarifa ya hbr sijui immesemaje kuhusu hili sakata kwani huku ngeleja alienda mapumziko ndio karudi sasa. nina hamu ya kujua mambo yaliishaje hapo A-Town
 
Kesho asubuhi na mapema tuliendeleze mpaka OCD asepe, haezi ita raia panya
 
Back
Top Bottom