Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Watapiga kura chama gani? Na kitashinda? Samia si atafanya uchaguzi wa kihuni kams ule wa jiwe na kujipa ushindi wa 90% hao wananchi watafanyaje mbele ya jeshi?
 
Hahaha, raha aliyonayo mh Rais Samia ni kwamba, popote atakaposhindwa, itasingiziwa SukumaGang.

Na akilikubali hii dhana, itamharibia sana.
Huo ni mtazamo wako.
Hahaha, raha aliyonayo mh Rais Samia ni kwamba, popote atakaposhindwa, itasingiziwa SukumaGang.

Na akilikubali hii dhana, itamharibia sana.
Huo ni mtazamo wako.
 
Hivi unajua mwaka 2012 wasukuma walikua milioni 17 Kati ya watanzania milioni 45 kwa mujibu wa sensa ya serikali? Projection mpaka sasa wasukuma wanaround 50% ya raia. Anayewapotosha anawaponza sana.
Kwani Tz tushaanza kupiga kura kikabila? Au huo wingi una faida gani?
 
Kwa Hiyo ndo mlichopanga sio!! Mnajidanganya, anayepanga ni Mungu tu acheni kujipa utukufu msiokuwa nao. Hivi hizo chuki kwa wasukuma zilitokana na nn hasa!! Kuwa watu humble busy tu na mambo yao!! Ndo kazi mlizojipa huku luku tu zikiwatoa nishai? Yaani mnaacha kuangalia mambo muhimu ya nchi mnaanza kupick bifu za kipuuzipuuzi tu! Jengeni nchi acheni kuleta visingizio vya ajabu. Ukweli hua mchungu sana lakini chukueni mtashukuru siku nyingine. Au wewe ulichagua uzaliwe kabila lipi? Si ulijikuta tu, sasa tusitafutiane ban kabisa.
 
Habari zilizonifikia ni kwamba sasa wanaenda kutoboa bwawa la Mtera ili hatimaye likauke nchi iingie gizani watu wamlaumu Mama na kumkumbuka Mwendazake. Vyanzo vya umeme ni vingi lakini umeme unaotokana na maji (Mtera) bado ni la msingi.
Wadanganye, watanyongwa haki ya nani!
 
Kwani Tz tushaanza kupiga kura kikabila? Au huo wingi una faida gani?
Si ndo lengo lenu kila kitu kuwatusi?! Sijui sukuma gang sijui nn. Every action has opposite and equal reaction. Wakanyeni wanaotumia hiyo myth ni ya kibaguzi na mnakumbuka hata wasouth hawakuwa na silaha lakini waligombana sana na kaburu na jeshi lake kisa kubaguliwa tu.
 
Umenena vyema! Kama ni hujuma kweli basi itakuwa zinatoka kwa makundi yanayojipanga kwa Urais ndani ya CCM yenyewe! Then wanampumbaza mama na jamii kwamba hujuma zinatoka Sukuma gang.
 
Taratibu usifike kwenye ban kwani bado tunahitaji mchango wako wa mawazo Tz ni yetu wote,hakuna mwenye umiliki nayo.
 
Reactions: mmh
Sasa Kama imefika mahali watu wametambua ubaya wa ubaguzi,ni vyema tukajadili matendo yote ya ubaguzi kwa uwazi,na kufikia maridhiano ya kweli,ili taifa lipone
 
Reactions: mmh
Kuna WATU sio mda watakipata wanachokitafuta , maana wanajiona wananguvu kuliko serikali mda ni MWALIM, aisee mwendazake amealibu Sana taifa ,Mambo ya ovyo Sana Mwamba awataki hasaulike,! Kwa lipi kafanya kubwa kuliko watangulizi wake ,Mambo ya ovyo sana
 
Pumba kabisa

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Naomba uweke sawa hapa kwa kutoa takwimu juu ya barabara unazodai walivipata kipind cha shujaa. Weka takwimu hapa kipind cha jakaya zilijengwa barabara km ngap na kipind cha shujaa zilijengwa barabara za km ngap.
Hawezi kukujibu mkuu, mfano ata Kama angejenga kwani alikua anatoa pesa mfukoni mwake , si zilitokana na kodi, mikopo ambayo amekopa mpaka Sasa deni la Taifa limepaa vibaya mno , alafu unasikia sijui kajenga ichi,kile ajabu kweli KWa watu wa mwendazake,ila ndo ivyo wajiandae kuishi Kama mashetani Yani
 
Hahaha, raha aliyonayo mh Rais Samia ni kwamba, popote atakaposhindwa, itasingiziwa SukumaGang.

Na akilikubali hii dhana, itamharibia sana.
Mi ni miongoni mwa watu waliomkubali sana JPM na bado ninaamini kifo chake ni hasara kwa nchi yetu. Hata hivyo baada ya kifo chake natamani mama Samia urais wake afanikiwe sana maana kufanikiwa kwake ndio mafanikio yetu wote.

Sasa kama uzembe mkubwa na uharibifu utafanyika chini yake wa kulaumiwa hawezi kuwa Sukumagang au mtu mwingine yoyote. Ni yeye nwenyewe tu wa kujilaumu maana kama nyenzo na mamlaka za kufanikiwa anazo.
 
Kwamba Bwana ni km Ndoo ukifika unatoboa tu maji yanaisha...

Or Bwawa la mtera lenye Capacity ya 80MW (5%) of Total power produced kwa vyanzo vyote 1602MW while matumizi yetu yakiwa ni 1051MW...so ht ukitoa 80MW ktk 1602MW still wont make any major impact.

Mtoa mada he is as stupid as those sukuma gang km anayowatuhumu nayo yana ukweli.
 
Ccm haihitaji kura za mtu
mema yatakayofanywa ni moyo tu wa kiongozi aliyepo madarakani
Yani ccm ikawe na hofu ya kukosa kula!

Lisemwalo lipo kuhusu hicho kikundi cha kina ngosh
Kama sivyo basi watu wanajaribu kurudisha mfumo wa awamu ya nne lakini wamechelewa wananchi kwa sasa wako sensitive Sana ujanja wa miaka kumi iliyopita hauwezi kuwa na maana leo mambo yamebadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…