Wabunge wame kemea kitendo Cha mwenyeti wa Chadema ndg. Mbowe cha kutoa kauli za kibaguzi wakati akitoa maoni yake juu ya uwekezaji wa DP world katika bandari ya dsm
Hakika mzee Mbowe kakosea sana kwa kutoa kauli za kibaguzi dhidi ya kiongozi wa nchi, kama kiongozi Mkuu wa chama cha upinzani hakupaswa kabisa kutamka kauli hiyo ambayo kimsingi inavunja misingi na tunu za Taifa letu.
kama ulimi wake uliteleza basi ni vyema akaomba radhi kama alikusudia hawezi kuomba radhi.
Aombe radhi, kwani kawakosea watanzania wote ambao tunaenzi misingi aliyo tuachia Baba wa Taifa letu Hayati JK Nyerere, misingi ya Umoja na mshikamano bila kubaguana.
Mbowe sio tu kawakosea viongozi wetu bali kawakosea watanzania wote.
haiwezekani kila kukicha tunahubiri umoja na mshikamano wa wananchi wetu halafu leo Mbowe anatoka hadharani kutoa kauli za kibaguzi!!! jambo hili sio sahiihi na halikubaliki.