Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,021
- 2,478
- Thread starter
- #61
Lakini, katika ilani hii, haikutajwa ahadi ya “bima ya afya kwa watu wote.” Hii ni ahadi ya jukwaani. Mwisho wa kunukuu!
Pia umeweka picha ya nani hapo juu kabisa ya bandiko lako?
Queen Esther
Maswali matano:
You sound primitive, naive and a vitim of selective amnesia.
- Ni wapi nimeponda Ilani ya CCM?
- Wapi nimemponda Magufuli na kwanini?
- Ahadi ya kuteekeza sera ya bima ya afya kwa wote na ahadi ya kuimarisha mfumo wa bima ya afya ni mambo mawili yanayoweza kutenganishika au hapana?
- Ilani ya CCM 2020-2025 ikisema maneno yafuatayo inakuwa imetoa ahadi ya kuteekeza sera ya bima ya afya kwa wote katika kipindi cha 2020-2025 au inakuwa imeahidi kuimarisha mfumo wa bima ya afya?: “83 (e). Katika kipindi hicho, Chama kitasimamia Serikali katika kutekeleza yafuatayo:… Kuimarisha mfumo wa bima ya afya nchini ikiwemo mifuko ya bima za afya (NHIF na CHF) ili kufikia lengo la Serikali la kuwa na bima ya afya kwa wananchi wote.”
- Tangu lini kupanda jukwaani na kutoa ahadi mpya ambayo haiko katika ilani likawa kosa la kisasa na kisera?