USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,666
Kosa kubwa naloliona ni wagombea kuibuka na mambo ambayo yatakuwa katika ilani na baadae kushindikanaWakati wa uchaguzi nilifanya comparative analysis ya ilani za CDM na CCM katika maeneo haya matano: afya, elimu, ikolojia, ofisi za utawala na uchumi.
Kulikuwepo na tofauti. Mfani, CCM walipata alama nyingi ktk sekta ya uchumi na kupata alama kidogo ktk sekta za afya, elimu na mazingira.
Na chadema walipata alama kidogo katika sekta ya uchumi na kupata alama nyingi ktk sekta ya afya, elimu na mazingira.
Ukifuatilia mwenendo wa kampeni utaona kuwa ccm walichukua sera ya bima ya afya kwa wote ili kutip mizania ya kampenj. Haikuwemo ktk ilani yao.
Kwa hiyo, kuna ufanano na utofauti wa hapa na pale.
Suala la elimu ccm mwaka 2015 iliibuka nalo tu halikuwa katika ilani
Saula la bima ya afya nalo likitekelezwa litaleta shida maana hakukuwa na mipango ndio maana naona Dk Gwajima atateseka sana nalo
Afya kwa sasa kunashida kubwa sana naona jambo hili litaleta matatizo baadae .hakuna dawa.watendaji,vifaa, gharama ziko juu
Hizi pesa tunazo peleka katika elimu zingeweza kusaidia kuajiri walimu na kuwalipa na kufanya ujenzi badala serkali kulipambania moja kwa moja