DOKEZO Wachimbaji waliofariki Mgodi wa Dhahabu Simiyu waliingizwa kwenye mashimo kinyemela

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Siku chache baada ya kutitia kwa Mgodi ya dhahabu wa Ikinabushu, Wilaya ya Bariadi Mkoani na kusababisha vifo vya wachimbaji 22, kuna mapya yameibuka ambayo ni nyuma ya pazia ya kilichotokea kabla na baada ya tukio hilo la Jumapili Januari 14, 2024.

Baada ya tukio hilo Serikali ilitangaza kutoa siku 6 kwa Wachimbaji wa eneo hilo kukamilisha taratibu za kisheria ikiwemo usajili na kufuata kanuni ya uchimbaji salama.

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde aliongoza kikao kilichohudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda na mbunge wa Bariadi, Mathew Kundo, ambapo uamuzi uliotolewa ni kutoufunga mgodi huo bali ukaguzi utafanyika na taratibu za kiusalama zikiwa sawa shughuli zitaendelea kama kawaida.

Ukweli umefichuka, Mgodi ulifungwa
Taarifa za uhakika ni kuwa siku moja kabla ya tukio hilo, Afisa Madini wa Mkoa wa Simiyu alifika eneo husika kufanya ukaguzi kisha akatoa maelekezo kuwa mazingira si salama, hivyo akaagiza shuhuli zote zisimamishwe hadi kutakapofanyika maboresho ya kuweka usalama.

Baada ya maelekezo hayo eneo likazungushiwa utepe wa kuwa halitumiki na Maafisa wakawekwa kulinda.

Wachimbaji waliukaribia mwamba wa dhahabu
Inadaiwa wakati zoezi la usitishaji shughuli za mgodi likifanyika, Wachimbaji walikuwa wameukaribia kwa ukaribu kabisa mwamba wa dhahabu, hivyo kusitishwa kwa kazi ilikuwa imewaumiza wengi hasa wenye mashimo na wasimamizi.

Mchezo mchafu wafanyika usiku mwingi
Usiku wa kuamkia Januari 14, 2024 Wasimamizi wa Mgodi kwa kushirikiana na Wamiliki wa Mashimo wakapanga mpango wa siri kuendelea na uchimbaji wa madini ili angalau wapate chochote kutoka kwenye mwamba wa madini.

Inadaiwa wakawakusanya vijana zaidi ya 20 wakawaandikisha majina wakiwataka waingie kwenye mashimo huku wakiwaahidi dau nono watakapotoka.

Zoezi hilo likafanyika usiku wa Saa Saba na Nusu Usiku, wakachimba na kufanikiwa kukukusanya mifuko zaidi ya 22 ambayo ilikuwa imeshatolewa na ipo juu kwenye ardhi.

Ilipofika majira ya saa kumi alfajiri ndipo ghafla udongo ukaanza kutitia na mashimo kufukiwa na kuwafukia wachimbaji waliokuwa chini.

Shuhuda anasema wanaficha
Shuhuda ambaye alikuwepo eneo la tukio anasema “Hakuna Mchimbaji aliyevamia, pesa ilitembea, wale vijana wachimbaji hawawezi kuingia shimoni ndani bila ruhusa ya wenye mashimo au wasimamizi.

“Kinachofanyika Wasimamizi wa Mgodi wanaficha kilichotokea kwa kuwa hayo ni makosa yao wao, wao ndio waliosababisha mauti ya wale watu na inawezekana idadi ni kubwa zaidi ya waliopoteza maisha.”

Wanaficha ukweli
Ili kuficha siri, inadaiwa Maafisa wa Serikali wakiulizwa wanasema Wachimbaji walivamia usiku na kuingia kwenye mashimo kwa nguvu.

"Wale vijana hawana nguvu hiyo ya kuweza kuvamia na kuingia kwa nguvu, Maafisa wa Mgodi wanaficha kilichotokea kwa kuwa wanajua walichokifanya, wao ndio sababu ya maisha ya watu kupotea na wanakaa kimya wakijua hakuna anayejua siri yao," anasema shuhuda mwingine.
 
IMG-20240114-WA0009.jpg

Habari za wakati huu wana Platform hii,

Mimi nimdau mkubwa wa sekta ya Madini na mchimbaji pia.

Kwanza nitoe pole kwa wachimbaji wadogo nchi nzima hasa wale wa Mkoa wa Simiyu, baada ya kuondokewa na wachimbaji wenzetu 22, ambao walifukiwa na udongo katika Mgodi mdogo wa dhahabu uko Kijiji Cha Ikinabushu Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu.

Kama Taifa na sekta ya Madini tumempoteza nguvu kazi kubwa sana, ila hatuna namna ni kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu kama wengi wanavyosemaga ingawa kwangu Mimi naweza kusema ni kwa mapenzi yetu sisi wenyewe Watanzania.

Sitaki kurudia tukio lilitokea lini, wapi na ilikuwaje....kwani kila mmoja ameona ktk vyombo vya Habari hadi Mhe. Rais alitoa salamu za pole hivyo natambua kila mmoja anamfahamu.

Nataka Leo niwaeleze Sasa kilichopo nyuma ya lazia juu ya tukio hili, ambacho waandishi wa Habari wameshindwa kukifanya, nimekuwepo kwenye Mgodi huu toka unaanza, tukio linatokea, na mpaka sasa bado nipo.

Nataka Leo nitoboe siri, waandishi wa Habari wao wameshindwa kuipata, ila nataka niwape Leo chanzo cha hili tukio.

Kabla ya yote, tuulizane hapa au waulizeni waandishi wa Habari waliofika katika tukio hilo, kwa Nini wanatajwa watu waliokufa tu? Hivi ni kweli kwenye ile ajali hakuna majeruhi?? Hakuna aliyenusurika???

Kwa Nini Viongozi wa serikali, Viongozi wa Mgodi na mainspector's wanasema waliokufa tu? Kwa Nini hawataji kuwa kuna watu walinusurika, waliokolewa?

Sasa ngoja niwaambie, Viongozi hawataki kusema kwa sababu wanajua ukweli utajulikana, tena yawezekana hata Viongozi wa serikali walifichwa, ila Viongozi wa Mgodi na wasimamizi wa Mgodi wameficha taarifa za watu waliokolewa.

Wanajua hao wakifahamika basi watatoa siri ya chanzo Cha ajali hiyo, kwa sababu wanajua Viongozi wa Mgodi na mainspector ndiyo chanzo cha vifo vya wachimbaji wetu.

Iko hivi niwaleleze sasa, kwenye hiyo ajali walinusirika wachimbaji wawili, ambao ndiyo walikuwa wa kwanza kuokolewa Kisha kukimbizwa hospitali na kutibiwa hadi kupona.

Kati ya hao mmoja anaitwa Mihayo..., aliokolewa akiwa wa kwanza, kilichomsaidia ni kuwa aliingia na wenzake kule chini baadaye akahitaji sigara, akapandisha akanunua sigara na kuvuta akiwa juu.

Alipomaliza kuvuta akaanza kushuka, wakati anashuka ndipo udongo ukaporomoka yeye akafunikwa miguu hadi kiunoni ndipo akaolewa akiwa wa kwanza.

Sasa huyu na mwenzake ambaye jina lake sijalipata vzr, ndiyo Wana story nzuri ya Nini kilitokea mpaka wanaingia kwenye mashimo wakati kulikuwepo na zuio la kutoingia.

Iko hv wandugu, Viongozi wa serikali na Viongozi wa Mgodi wakiwemo mainspector wote waliongea kwenye vyombo vya Habari na niliwaona eti wale wachimbaji walivamia usiku saa nane na kuingia kwenye yale mashimo kwa nguvu.

Tena Viongozi wa Mgodi bila aibu wanasema wale wachimbaji waliwazidi nguvu walinzi ambao walikuwa wanalinda hayo mashimo huo usiku, Hapana uongo mkubwa na unafiki.

Sasa kwa sababu wanasema marehemu huwa hasemi, ngoja sisi tuwasemee hapa wenzetu maana tulikuwepo.

Siku Moja Kabla ya tukio ni kweli na nilikuwepo Afisa Madini Mkoa alifika mgodini hapo, akaona yale mashimo akaona ni hatari akatangaza kusitishwa zoezi la uchimbaji.

Alitwambia kuwa tusiendelee na uchimbaji maana mashimo yako kwenye Hatari ya kuporomoka na wote tulikubali, waliokuwemo kwneye mashimo wote wakatoka.

Afisa Madini Mkoa akaagiza kesho yake tuanze taratibu za kufunga mashimo yale kwa miti ili usalama uwepo wote tukakubaliana na ikiwa hivyo.

Wakati Afisa Madini anatoa hilo tangazo, yale mashimo kwa ndani yalikuwa yamefika kwenye Mwamba mzuri, wenye Madini, na madini yalikuwa mengi, kila mmoja alikuwa anapamezea mate, kwa ujumla mali ilikuwepo kweli kweli hata Mimi ilikuwa inanitamanisha.

Baada ya tangazo la Afisa Madini watu wote tulitii, waliokuwemo ndani wakatoka Mgodi ukafungwa na walinzi wakawekwa hadi askari Polisi.

Kilichokuja kutokea baada ya lile tangazo ambalo lilitolewa tarehe 12, usiku sasa wa siku hiyo kuanzia saa nne hadi saa saba ulifanyika mpango kati ya wamiliki wa maduara na wasimamizi wa Mgodi wa kuingiza wachimbaji kwenye mashimo yale ambayo tuliambiwa ni hatari waendelee na uchimbaji kwa sababu lile eneo ambalo yalikuwa yamefika lilikuwa na dhahabu nyingi.

Siyo kweli kuwa wale wachimbaji walijipeleka au kuvamia, wale wachimbaji waliingizwa na wamiliki wa Mgodi kwa kushirikiana na mainspector, walijadiliana wakaitwa wachimbaji baadhi, wakaandikishwa majina na kuingizwa ndani.

Waliingizwa saa Saba na Nusu usiku, na tukio la kuporomoka likatokea saa kumi na Nusu alfajiri ya tarehe 13. Waliingizwa ili hao Viongozi wapate ela zaidi maana walijua kule chini kuna mali ya kutosha (dhahabu).

Waandishi na watu wengine hawajiulizi kwa Nini kila mchimbaji ambaye alikuwa anatolewa kule ndani, jina lake lilikuwa linatambulika haraka tena majina mawili, Viongozi wa Mgodi wana kila kitu, ndiyo maana hawataki kutaja kama kuna watu waliokolewa wakiwa hai na wakapelekwa hospitali na kupona wanajua Hawa wakijulikana wataongea kila kitu na watatibua kile walichodanganya kuwa wachimbaji walivamia.

Niwaambie Sasa kwa mfumo wa ulinzi kwenye hii migodi hakuna mtu anayeweza kuvamia na kuingia kwenye mashimo, Kuna Polisi ba mambo na ulinzi mwingine mwingi, akitokea ameingia haiwezi kuchukua Dakika Tano ametolewa na kupigwa pingu, inakuwaje Hawa Leo watudanganye eti walivamia, nilikuwepo Hawa hawakuvamia waliingizwa na wao Viongozi ili wapate Mali zaidi, tamaa za ela hizo.

Kama Mimi naongea uongo, naomba waandishi wa Habari wamtafute huyo kijana aliyenusurika, atawaeleza ukweli wote, na ikigundulika naonga uongo basi nitakuja hapa tena kukanusha.

Kwa lugha rahisi wale vijana walikuwa tu, siyo kweli walijiingiza wenyewe, uongo huo na nitapingana nao hadi mwisho.

Hizi tabia lazima zikomeshwe na serikali, hawa wasimamizi wa migodi tatizo lao kubwa ni tamaa ya ela, hawajali kabisa maisha ya mtu, wao wanachojali ni ela tu, wako tyr kutoa uhai wa mtu ili wapate ela.

Ningelifurahi sana hatua za kisheria zingelianza na hawa wasimamizi wa huu mgodi ili kuwe fundisho kwa watu wengine.
 
Poleni.

Japo sasa kwani hao marehemu na majeruhi walilazimishwa kuingia huko mgodini?

Na wakijua fika kuna zuio la Usalama kwanini walikubali kuingia? Au walishikiwa bunduki?
 
Nimekaa kwenye hii secta kwa miaka kabla ya kuacha maelezo yako yanasadifu mazingira ya migodi mingi midogo midogo hapa tz, kule kakola na kahama ilikua hata afisa madini ashauli nn kuhusu usalama watu hawawezi kuelewa akiondoka tuu watu wanatafuta njia ya kuingia hata awekwe police atahongwa tuu ila watu wazame all in all hii ni moja ya kazi ngumu nikiyowahi kufanya inahitaji moyo wa chuma kule chini ni kama kuzimu
 
Poleni sana na tunashukuru kwa kutuambia ukweli mkuu naweza kusema halikuwa kosa la marehemu ispoluwa viongozi hasa ukizingatia maana harisi ya uongozi na kuwa kiongozi
 
Hii yote inasababishwa na mambo ya kiusalama, mazingira na utaalamu kuendeshwa kisihasa, na hakuna anayejali!! Wanakimbilia kutoa majeneza
 
Yeyote atakayevuka kizuizi kuingia eneo la pili lililokatazwa atahesabika kama mvamizi,bila kujali alihonga au alishawishi ulinzi,maadam zuio bado lilikuwepo atahukumiwa hivyo.

Tamaa za viongozi,njaa za wachimbaji zimesababisha majanga.
 
Yote yanawezekana,hii ngozi nyeusi kwenye pesa huwa haijali chochote..buriani kwa wote waliotangulia.
 
Basi mkuu kulingana na andiko lako vifo vimesababishwa na TAMAA za marehemu wenyewe maana hawakulazimishwa , wamiliki pia walisababisha na mamlaza za usalama.
Sidhani kama huu upupu ungeutoa endapo Kuna nduguyo amefia humu umeandika kama umekula mavi
 
Habari za wakati huu wana Platform hii,

Mimi nimdau mkubwa wa sekta ya Madini na mchimbaji pia.

Kwanza nitoe pole kwa wachimbaji wadogo nchi nzima hasa wale wa Mkoa wa Simiyu, baada ya kuondokewa na wachimbaji wenzetu 22, ambao walifukiwa na udongo katika Mgodi mdogo wa dhahabu uko Kijiji Cha Ikinabushu Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu.

Kama Taifa na sekta ya Madini tumempoteza nguvu kazi kubwa sana, ila hatuna namna ni kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu kama wengi wanavyosemaga ingawa kwangu Mimi naweza kusema ni kwa mapenzi yetu sisi wenyewe Watanzania.

Sitaki kurudia tukio lilitokea lini, wapi na ilikuwaje....kwani kila mmoja ameona ktk vyombo vya Habari hadi Mhe. Rais alitoa salamu za pole hivyo natambua kila mmoja anamfahamu.

Nataka Leo niwaeleze Sasa kilichopo nyuma ya lazia juu ya tukio hili, ambacho waandishi wa Habari wameshindwa kukifanya, nimekuwepo kwenye Mgodi huu toka unaanza, tukio linatokea, na mpaka sasa bado nipo.

Nataka Leo nitoboe siri, waandishi wa Habari wao wameshindwa kuipata, ila nataka niwape Leo chanzo cha hili tukio.

Kabla ya yote, tuulizane hapa au waulizeni waandishi wa Habari waliofika katika tukio hilo, kwa Nini wanatajwa watu waliokufa tu? Hivi ni kweli kwenye ile ajali hakuna majeruhi?? Hakuna aliyenusurika???

Kwa Nini Viongozi wa serikali, Viongozi wa Mgodi na mainspector's wanasema waliokufa tu? Kwa Nini hawataji kuwa kuna watu walinusurika, waliokolewa?

Sasa ngoja niwaambie, Viongozi hawataki kusema kwa sababu wanajua ukweli utajulikana, tena yawezekana hata Viongozi wa serikali walifichwa, ila Viongozi wa Mgodi na wasimamizi wa Mgodi wameficha taarifa za watu waliokolewa.

Wanajua hao wakifahamika basi watatoa siri ya chanzo Cha ajali hiyo, kwa sababu wanajua Viongozi wa Mgodi na mainspector ndiyo chanzo cha vifo vya wachimbaji wetu.

Iko hivi niwaleleze sasa, kwenye hiyo ajali walinusirika wachimbaji wawili, ambao ndiyo walikuwa wa kwanza kuokolewa Kisha kukimbizwa hospitali na kutibiwa hadi kupona.

Kati ya hao mmoja anaitwa Mihayo..., aliokolewa akiwa wa kwanza, kilichomsaidia ni kuwa aliingia na wenzake kule chini baadaye akahitaji sigara, akapandisha akanunua sigara na kuvuta akiwa juu.

Alipomaliza kuvuta akaanza kushuka, wakati anashuka ndipo udongo ukaporomoka yeye akafunikwa miguu hadi kiunoni ndipo akaolewa akiwa wa kwanza.

Sasa huyu na mwenzake ambaye jina lake sijalipata vzr, ndiyo Wana story nzuri ya Nini kilitokea mpaka wanaingia kwenye mashimo wakati kulikuwepo na zuio la kutoingia.

Iko hv wandugu, Viongozi wa serikali na Viongozi wa Mgodi wakiwemo mainspector wote waliongea kwenye vyombo vya Habari na niliwaona eti wale wachimbaji walivamia usiku saa nane na kuingia kwenye yale mashimo kwa nguvu.

Tena Viongozi wa Mgodi bila aibu wanasema wale wachimbaji waliwazidi nguvu walinzi ambao walikuwa wanalinda hayo mashimo huo usiku, Hapana uongo mkubwa na unafiki.

Sasa kwa sababu wanasema marehemu huwa hasemi, ngoja sisi tuwasemee hapa wenzetu maana tulikuwepo.

Siku Moja Kabla ya tukio ni kweli na nilikuwepo Afisa Madini Mkoa alifika mgodini hapo, akaona yale mashimo akaona ni hatari akatangaza kusitishwa zoezi la uchimbaji.

Alitwambia kuwa tusiendelee na uchimbaji maana mashimo yako kwenye Hatari ya kuporomoka na wote tulikubali, waliokuwemo kwneye mashimo wote wakatoka.

Afisa Madini Mkoa akaagiza kesho yake tuanze taratibu za kufunga mashimo yale kwa miti ili usalama uwepo wote tukakubaliana na ikiwa hivyo.

Wakati Afisa Madini anatoa hilo tangazo, yale mashimo kwa ndani yalikuwa yamefika kwenye Mwamba mzuri, wenye Madini, na madini yalikuwa mengi, kila mmoja alikuwa anapamezea mate, kwa ujumla mali ilikuwepo kweli kweli hata Mimi ilikuwa inanitamanisha.

Baada ya tangazo la Afisa Madini watu wote tulitii, waliokuwemo ndani wakatoka Mgodi ukafungwa na walinzi wakawekwa hadi askari Polisi.

Kilichokuja kutokea baada ya lile tangazo ambalo lilitolewa tarehe 12, usiku sasa wa siku hiyo kuanzia saa nne hadi saa saba ulifanyika mpango kati ya wamiliki wa maduara na wasimamizi wa Mgodi wa kuingiza wachimbaji kwenye mashimo yale ambayo tuliambiwa ni hatari waendelee na uchimbaji kwa sababu lile eneo ambalo yalikuwa yamefika lilikuwa na dhahabu nyingi.

Siyo kweli kuwa wale wachimbaji walijipeleka au kuvamia, wale wachimbaji waliingizwa na wamiliki wa Mgodi kwa kushirikiana na mainspector, walijadiliana wakaitwa wachimbaji baadhi, wakaandikishwa majina na kuingizwa ndani.

Waliingizwa saa Saba na Nusu usiku, na tukio la kuporomoka likatokea saa kumi na Nusu alfajiri ya tarehe 13. Waliingizwa ili hao Viongozi wapate ela zaidi maana walijua kule chini kuna mali ya kutosha (dhahabu).

Waandishi na watu wengine hawajiulizi kwa Nini kila mchimbaji ambaye alikuwa anatolewa kule ndani, jina lake lilikuwa linatambulika haraka tena majina mawili, Viongozi wa Mgodi wana kila kitu, ndiyo maana hawataki kutaja kama kuna watu waliokolewa wakiwa hai na wakapelekwa hospitali na kupona wanajua Hawa wakijulikana wataongea kila kitu na watatibua kile walichodanganya kuwa wachimbaji walivamia.

Niwaambie Sasa kwa mfumo wa ulinzi kwenye hii migodi hakuna mtu anayeweza kuvamia na kuingia kwenye mashimo, Kuna Polisi ba mambo na ulinzi mwingine mwingi, akitokea ameingia haiwezi kuchukua Dakika Tano ametolewa na kupigwa pingu, inakuwaje Hawa Leo watudanganye eti walivamia, nilikuwepo Hawa hawakuvamia waliingizwa na wao Viongozi ili wapate Mali zaidi, tamaa za ela hizo.

Kama Mimi naongea uongo, naomba waandishi wa Habari wamtafute huyo kijana aliyenusurika, atawaeleza ukweli wote, na ikigundulika naonga uongo basi nitakuja hapa tena kukanusha.

Kwa lugha rahisi wale vijana walikuwa tu, siyo kweli walijiingiza wenyewe, uongo huo na nitapingana nao hadi mwisho.

Hizi tabia lazima zikomeshwe na serikali, hawa wasimamizi wa migodi tatizo lao kubwa ni tamaa ya ela, hawajali kabisa maisha ya mtu, wao wanachojali ni ela tu, wako tyr kutoa uhai wa mtu ili wapate ela.

Ningelifurahi sana hatua za kisheria zingelianza na hawa wasimamizi wa huu mgodi ili kuwe fundisho kwa watu wengine.
Kuna maswali Tume ya madini inahitajika iwaambie watanzania!
1. Ni leseni ya na nani ni PML au ni eneo la utafiti?
2. Je mgodi HUO uliwahi kukaguliwa mara ya mwisho ni lini kujali usalama wa migodi
 
Na kwa Haraka haraka wewe Ni mihayo ambaye umeokolewa wa kwanza
 
Poleni.

Japo sasa kwani hao marehemu na majeruhi walilazimishwa kuingia huko mgodini?

Na wakijua fika kuna zuio la Usalama kwanini walikubali kuingia? Au walishikiwa bunduki?
Wachimbaji ni wafanyakazi wanasikiliza waajiri wao ... Hayo matangazo hata yatolewe kweny hadhara anayeamua ni mweny mgodi kama watu waingie au laah...

Yanatolewa kutwa ila uongozi wa mgodi ukiruhusu watu wanaingia ..Mgodi ni sehemu yenye pesa kule utu hakuna kabisa watu wanaangalia pesa mbele.
.
 
Daaah
Huyo Mihayo na mwenzake wawekewe ulinzi maana wanaweza kupaishwa mawinguni fasta
 
Kuna maswali Tume ya madini inahitajika iwaambie watanzania!
1. Ni leseni ya na nani ni PML au ni eneo la utafiti?
2. Je mgodi HUO uliwahi kukaguliwa mara ya mwisho ni lini kujali usalama wa migodi

Bro soma tena…mleta mada pamoja na kwenye comment namba 1 unaambiwa siku mbili kabla ya tukio afisa madini mkoa alifika na timu yake na kuona eneo hilo si salama kwa ajili ya kazi na kuzungushia utepe….
Unaambiwa kuna wamiliki wa mgodi means tayari hilo ni eneo linalotambulika na lazima lina leseni PML
 
Back
Top Bottom