Mweka Hazina wa Manispaa ya Ilala afariki kwa ajali

Mweka Hazina wa Manispaa ya Ilala afariki kwa ajali

wewe .@...idimulwaunajuaa ushahidi gani kama ni mwizi......alafu tuambie kirefu cha RIF
 
Wadau, Jana alasiri kulitokea ajali mbaya ya gari. Gari aina na landcluiser Mali ya Manispaa ya Ilala lilipasuka gurudumu LA mbele hivyo likaacha njia na kugonga mti ukiokuwa pembeni ya Barbara. Mweka hazina wa Manispaa ya Ilala aliyekuwemo ndani ya gari hili amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospital ya Muhimbili.

daah R.I.P uncle may your soul rest in eternal peace!
 
mmmmhhh msiba buana..
Kweli ni msiba kaka, ila iliwahi kutokea miaka kadhaa nyuma tukio kama hilo, dereva wa fulani wa shirika la umma baada ya kumpeleka bosi yeye hakupeleka gari kupaki. Badala yake akachukua mkewe akaingia nalo mtaani kutanua, bahati mbaya yakatokea yaliyotokea barabarani akiwa na mkewe, jamaa akapoteza mguu mmoja mkewe alifariki palepale.

Wakati yuko hoi kitandani pale MOI huku wakubwa wanaandaa barua ya kikazi, alipotoka hospitalini akapishana na kibarua......
 
Wadau, Jana alasiri kulitokea ajali mbaya ya gari. Gari aina yalandcluiser Mali ya Manispaa ya Ilala lilipasuka gurudumu LA mbele hivyo likaacha njia na kugonga mti uliokuwa pembeni ya Barbara. Mweka hazina wa Manispaa ya Ilala aliyekuwemo ndani ya gari hili amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospital ya Muhimbili. Ajari ilitokea karibu na eneo LA bwawani, alikuwa akienda morogoro kwa shughuli za kikazi. Dereva anaendelea na matibabu.

Barbara ni nini kijana?au povu limekuelemea unakosea hata kuandika
 
Huyu alikuwa akielekea Morogoro kwenye ufunguzi wa Maonyesho ya nanenane

Back
Top Bottom