Mweka Hazina wa Manispaa ya Ilala afariki kwa ajali

Alikuwa chama gan? kama ccm sitoi pole...
 
Alikuwa anaelekea kwenye kesi morogoro. Alishtakiwa na PCCB na weenzake dhidi ya matumizi mabaya ya fedha za UMMA ilspokuwa DT mvomero. Yeye ndo alikuwa mshtakiwa namba moja. RIP Stima. Haya maisha wakati mwingine ni ya ajabu saana.
 
Poleni sana wafiwa, mungu amuweke mahali pema panapostahili Aaaamen!
 
Alikuwa anaelekea kwenye kesi morogoro. Alishtakiwa na PCCB na weenzake dhidi ya matumizi mabaya ya fedha za UMMA ilspokuwa DT mvomero. Yeye ndo alikuwa mshtakiwa namba moja. RIP Stima. Haya maisha wakati mwingine ni ya ajabu saana.

Dah, ndo kakwepa kesi hivyo
 
Back
Top Bottom