beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Tarehe 28/12/2012 hadi 30/12/2012 umealikwa kukutana na JF MEMBERS wote pale TANGA. Ndiyo ndoto iliyokusumbua last night as members wa Arusha na Dar walikuwa kwny same spirit mood, ndoto zimewakuta absentees wote ila ww tu umeleta habari. Mzima wewe?
Arushaone hata sie wa mwanza tulikuwa somewhere sema huyo mtoto anaogopa saaaaaana kuonesha sura yake... tumemtafuta sana hapatikaniki....

Jaman cl shoga yangu mi mbona nilikua napatikana mweeh sa hata sikujua coz juzi nilikua kwa party jana meshinda nimelala tuu. samahanin lakin coz sikujua mim na nilikua hewan tuu kwa kweli
Tarehe 28/12/2012 hadi 30/12/2012 umealikwa kukutana na JF MEMBERS wote pale TANGA. Ndiyo ndoto iliyokusumbua last night as members wa Arusha na Dar walikuwa kwny same spirit mood, ndoto zimewakuta absentees wote ila ww tu umeleta habari. Mzima wewe?
Arushaone hata sie wa mwanza tulikuwa somewhere sema huyo mtoto anaogopa saaaaaana kuonesha sura yake... tumemtafuta sana hapatikaniki....
Duh... Sie tangu alhamisi tulianza weekend na leo ndo tutaimalizia. Haya sema utakuwa wapi tukufuate huko huko make ukisema waja, huji :lol:
Mbona sijapata mwaliko jamani...!!!
Tarehe 28/12/2012 hadi 30/12/2012 umealikwa kukutana na JF MEMBERS wote pale TANGA. Ndiyo ndoto iliyokusumbua last night as members wa Arusha na Dar walikuwa kwny same spirit mood, ndoto zimewakuta absentees wote ila ww tu umeleta habari. Mzima wewe?
Jaman cl umeniamulia mweeh leo si nimekuambia nina nin bt jion ntakuwa free mandela bt unahisi ntadanganya nakusikiliza wewe shoga aanguDuh... Sie tangu alhamisi tulianza weekend na leo ndo tutaimalizia. Haya sema utakuwa wapi tukufuate huko huko make ukisema waja, huji :lol:
ndio unaalikwa hivyo mamushka ndoto yako itimie...
Kati kati ya rocky city hapa...Wap upo evelyn maana cl kancharukia huyo mmmmh
Wacha bana usinambie basi sawa mi nahitaj kuwa mpiga kigelegele cha kingon mixer kipogoro
Sasa fanya kitu hapa cum kwa pm udondoshe nyaraka za mawasilianoKati kati ya rocky city hapa...
Mbona sijapata mwaliko jamani...!!!