Mwaswali kuhusu saikolojia ya mwanamke

Mwaswali kuhusu saikolojia ya mwanamke

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,765
Reaction score
71,801
Wadada,

Hivi kwanini mkiwa mnataka kujenga mazoea na mwanaume unajichekesha mbele yake, unajaribu kumzoea, unapendeza na kunukia lakini yeye anakuwa kama hakuoni vile, au hata ukifanya vizuri yeye hakuafiki kwanini huwa mnaishia kumchukia sana?

Tena,
Hivi kwanini ukifanya jambo lolote baya kwa mwanaume kama kumtukana, kuvunja ahadi, kumdharau, kumdanganya n.k ukitegemea atakujibu chochote halafu asijibu kitu na aonyeshe kutokujali kabisa huwa mnahisi kufa kufa?

Jingine,
Kama binti ni mzuri na kazoea kishobokewa na wanaume wengi kila wanapomwona. Lakini akakutana na mwanamume ambaye anaonyesha kutostushwa kabisa na uzuri wake, binti huyo huanzisha mitego kwa huyo jamaa?

Halafu,
Kwanini wanawake huwa hamuwagi wawazi kuhusu hisia zenu? Hata kama mtu mnampenda mnaweza kumkatalia kwa nyodo kibao lakini akiondoka mnaanza kumtafuta, hapa sijawahi kuelewa kabisa.

Mwisho,
Kwanini mabinti wengi huwa hawapendi kuwa kwenye mahusiano na Vijana wastaarabu (Good Guys au Nerds) lakini wao hutokea kuvutiwa sana na wale vijana wahuni wahuni (Bad Boys na dull). Halafu umri ukifika wa kuolewa wanataka kuolewa na good guys. Anaanza kubadilika na kwenda kanisani, anavaa kistaarabu, anarekebisha kauli za kinywa chake ili tu a-brend in. Sasa mimi najiuliza huyu alikuwa wapi siku zote kufanya haya?

Jamani sijui wenzetu mliumbwaje.
Mna mambo mengi yanayochanganya sana hasa mkikutana na mtu mgeni kwenye huu ulimwengu.

NB: Siyo wanawake wote wanakuwa na tabia hizi.
 
Mwanamke anaongozwa na Emotions na Mwanaume anaongozwa na logic katika mapenzi,Mwanamke anafanya vitu jinsi anavyo feel kufanya na Mwanaume anafanya vitu kwa ku reason kwenye mapenzi,ndio maana ni vigumu kuwaelewa wanawake katika mapenzi coz wanafanya vitu bila kutumia logic lakini wao wanaona wako sawa tu,kwa. ufupi unatakiwa uwaelewe wanawake wana matatizo mengi katika mapenzi na uwachukulie hivyo hivyo coz hata wao wanafanya vitu vingine baadae wanashindwa kuelewa kwa nini walifanya hivyo?ina maana kuna wakati kuna vitu vinawasukuma kufanya vitu hata wao wasivyo vipenda!,ndio maana wataalamu wa saikolojia wanasema wanawake hawajui wanataka nni?
 
Hao wanawake wote unataka kuwajua
Uko kwenye research field

Au ni sehemu ya kukuza uchumi wako?
 
Hao wanawake wote unataka kuwajua
Uko kwenye research field

Au ni sehemu ya kukuza uchumi wako?

Research Field= Field Research (Is a proper English)
Uchumi wangu ushakuwa sana hata kabla mimi sijazaliwa na wala hautegemei mtu ili ukue.
 
Kakae umegeneralise mno wanawake sio wote wenye hizi tabia!

Swali la kwanza nitalijibu kama ifuatavyo..chuki inaweza kutokea kama udhaifu kama unavyojua in nature wanawake tunahitaji attention sana so ikitokea unajionesha kwa mtu unampenda alafu yy anakuchukulia poa lazma chuki itokee tu.Huo ni udhaifu wetu wengi

Swali namba mbili mhh navyoona pia ni mapungufu ya kibinadam na ipo kwa wote..wengi wetu hupenda mabaya yawatokee watu tunaochukia..na ikitokea ndivyo sivyo tunaumia

Swali la tatu hahah mitego na kujishebedua ni nature ya mwanamke yeyote pale anapomseduce mwanaume!sidhani kama kuna ubaya wowote na wengi wao wakitegwa wanabana eh mwishowe wanaachia.Power of Pussy[emoji23]

Swali la nne wengi wetu tunapenda taratibu taratibu na pia tunakua na waswas na maamuz yetu ya kutokujiamini.Ukiwa karibu na anayekupiga sound unaeza ukawa unajifeel haumtaki ila akiondoka sasa ndo unaanza kumkumbuka kwa kasi atii.

Swali la mwisho yategemeana na mtu na mtu..kila mwanamke ana taste yake usiwahau kuna ambao wanapenda wanaume wazur wa sura au masharobaro but kuna wengine wanapenda wanaume wagumu.Ilo la tabia mbay na nzuri ipo hivi unaweza ukakuta libad boy ndo linajua kutafuta pesa.But mwenye tabia nzuri very mbumbumbu..yaan amekaa kifala hana changamoto ya maisha hajui kujiongeza nk.
Kuhusu la umri kuenda na ulokole inategemeana sijalijua sana.Labda wanahis wana mapepo yakitolewa wataolewa.
 
Cha msingi unapo mbaini mwanamke aliyekupenda na ukabahatika kumuoa unatakiwa uwahi kumnyoosha mapema Kwenye "reli" kabla yeye yajakuwahi.
Endapo atakuwahi yeye MTU mzima Utakuja kulia kilio cha "mbwa mwizi" mbele ya safari.

ONYO:-mwanaume Ukionyesha dalili zifuatazo, lazima mwanamke "akunyee kwenye Kichwa"
1.Kumbabaikia sana Kama vile hakuna wengine wazuri zaidi yake hapa duniani.
2.ulimbukeni wa mapenzi--utafikiri "papuchi" yake ndio ya kwanza kui "do"/umeanzia mapenzi ukubwani.
3.kujichekesha -chekesha ki..nge -ki..nge Mbele yake--- badala ya kumchukulia hatua Kali za kinidhamu ikiwemo "kipondo cha mbwa mwizi" pale anapofanya kosa kubwa/dogo au kushindwa kutekeleza/kukaidi maagizo.
4.wivu wa kijinga

NB:-unaweza kuongeza zako......................
 
Mungu mwenyewe Kawaambia Ishini nao kwa akili coz anajua ni undefined sasa ije kua wewe kuuliza hayo, jibu utapata kwakweli
 
Mwanamke anaongozwa na Emotions na Mwanaume anaongozwa na logic katika mapenzi,Mwanamke anafanya vitu jinsi anavyo feel kufanya na Mwanaume anafanya vitu kwa ku reason kwenye mapenzi,ndio maana ni vigumu kuwaelewa wanawake katika mapenzi coz wanafanya vitu bila kutumia logic lakini wao wanaona wako sawa tu,kwa. ufupi unatakiwa uwaelewe wanawake wana matatizo mengi katika mapenzi na uwachukulie hivyo hivyo coz hata wao wanafanya vitu vingine baadae wanashindwa kuelewa kwa nini walifanya hivyo?ina maana kuna wakati kuna vitu vinawasukuma kufanya vitu hata wao wasivyo vipenda!,ndio maana wataalamu wa saikolojia wanasema wanawake hawajui wanataka nni?
Sio matatizo ni maumbile yaani wameumbwa hivyo [emoji6]
 
Cha msingi unapo mbaini mwanamke aliyekupenda na ukabahatika kumuoa unatakiwa uwahi kumnyoosha mapema Kwenye "reli" kabla yeye yajakuwahi.
Endapo atakuwahi yeye MTU mzima Utakuja kulia kilio cha "mbwa mwizi" mbele ya safari.

ONYO:-mwanaume Ukionyesha dalili zifuatazo, lazima mwanamke "akunyee kwenye Kichwa"
1.Kumbabaikia sana Kama vile hakuna wengine wazuri zaidi yake hapa duniani.
2.ulimbukeni wa mapenzi--utafikiri "papuchi" yake ndio ya kwanza kui "do"/umeanzia mapenzi ukubwani.
3.kujichekesha -chekesha ki..nge -ki..nge Mbele yake--- badala ya kumchukulia hatua Kali za kinidhamu ikiwemo "kipondo cha mbwa mwizi" pale anapofanya kosa kubwa/dogo au kushindwa kutekeleza/kukaidi maagizo.
4.wivu wa kijinga

NB:-unaweza kuongeza zako......................
Umenena vyema
 
Kakae umegeneralise mno wanawake sio wote wenye hizi tabia!

Swali la kwanza nitalijibu kama ifuatavyo..chuki inaweza kutokea kama udhaifu kama unavyojua in nature wanawake tunahitaji attention sana so ikitokea unajionesha kwa mtu unampenda alafu yy anakuchukulia poa lazma chuki itokee tu.Huo ni udhaifu wetu wengi

Swali namba mbili mhh navyoona pia ni mapungufu ya kibinadam na ipo kwa wote..wengi wetu hupenda mabaya yawatokee watu tunaochukia..na ikitokea ndivyo sivyo tunaumia

Swali la tatu hahah mitego na kujishebedua ni nature ya mwanamke yeyote pale anapomseduce mwanaume!sidhani kama kuna ubaya wowote na wengi wao wakitegwa wanabana eh mwishowe wanaachia.Power of Pussy[emoji23]

Swali la nne wengi wetu tunapenda taratibu taratibu na pia tunakua na waswas na maamuz yetu ya kutokujiamini.Ukiwa karibu na anayekupiga sound unaeza ukawa unajifeel haumtaki ila akiondoka sasa ndo unaanza kumkumbuka kwa kasi atii.

Swali la mwisho yategemeana na mtu na mtu..kila mwanamke ana taste yake usiwahau kuna ambao wanapenda wanaume wazur wa sura au masharobaro but kuna wengine wanapenda wanaume wagumu.Ilo la tabia mbay na nzuri ipo hivi unaweza ukakuta libad boy ndo linajua kutafuta pesa.But mwenye tabia nzuri very mbumbumbu..yaan amekaa kifala hana changamoto ya maisha hajui kujiongeza nk.
Kuhusu la umri kuenda na ulokole inategemeana sijalijua sana.Labda wanahis wana mapepo yakitolewa wataolewa.
Charty wangu do you know you are exceptionally intelligent ??? Aisee hapo mwishoni nilisahau kusema siyo woteee.

Umejibu vizuri sana haya maswali.
[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Sure sio wote tabia zinatofautiana mno.Wengine hizo drama zipo kando!hahah
 
Cha msingi unapo mbaini mwanamke aliyekupenda na ukabahatika kumuoa unatakiwa uwahi kumnyoosha mapema Kwenye "reli" kabla yeye yajakuwahi.
Endapo atakuwahi yeye MTU mzima Utakuja kulia kilio cha "mbwa mwizi" mbele ya safari.

ONYO:-mwanaume Ukionyesha dalili zifuatazo, lazima mwanamke "akunyee kwenye Kichwa"
1.Kumbabaikia sana Kama vile hakuna wengine wazuri zaidi yake hapa duniani.
2.ulimbukeni wa mapenzi--utafikiri "papuchi" yake ndio ya kwanza kui "do"/umeanzia mapenzi ukubwani.
3.kujichekesha -chekesha ki..nge -ki..nge Mbele yake--- badala ya kumchukulia hatua Kali za kinidhamu ikiwemo "kipondo cha mbwa mwizi" pale anapofanya kosa kubwa/dogo au kushindwa kutekeleza/kukaidi maagizo.
4.wivu wa kijinga

NB:-unaweza kuongeza zako......................
Hahaha upooo sahihi kaka!!!!!
 
Back
Top Bottom