hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,391
- 80,370
mwaka unaelekea kuisha mkuuWanawake mtakoma mwaka huu
mwaka unaelekea kuisha mkuuWanawake mtakoma mwaka huu
mwaka unaelekea kuisha huu mkuuWanawake mtakoma mwaka huu
Yaan Mungu wa ajabu sana. Yanayosemwa humu kuhusu wanawake yanathibitishwa na wanawake wenyewe.Kakae umegeneralise mno wanawake sio wote wenye hizi tabia!
Swali la kwanza nitalijibu kama ifuatavyo..chuki inaweza kutokea kama udhaifu kama unavyojua in nature wanawake tunahitaji attention sana so ikitokea unajionesha kwa mtu unampenda alafu yy anakuchukulia poa lazma chuki itokee tu.Huo ni udhaifu wetu wengi
Swali namba mbili mhh navyoona pia ni mapungufu ya kibinadam na ipo kwa wote..wengi wetu hupenda mabaya yawatokee watu tunaochukia..na ikitokea ndivyo sivyo tunaumia
Swali la tatu hahah mitego na kujishebedua ni nature ya mwanamke yeyote pale anapomseduce mwanaume!sidhani kama kuna ubaya wowote na wengi wao wakitegwa wanabana eh mwishowe wanaachia.Power of Pussy[emoji23]
Swali la nne wengi wetu tunapenda taratibu taratibu na pia tunakua na waswas na maamuz yetu ya kutokujiamini.Ukiwa karibu na anayekupiga sound unaeza ukawa unajifeel haumtaki ila akiondoka sasa ndo unaanza kumkumbuka kwa kasi atii.
Swali la mwisho yategemeana na mtu na mtu..kila mwanamke ana taste yake usiwahau kuna ambao wanapenda wanaume wazur wa sura au masharobaro but kuna wengine wanapenda wanaume wagumu.Ilo la tabia mbay na nzuri ipo hivi unaweza ukakuta libad boy ndo linajua kutafuta pesa.But mwenye tabia nzuri very mbumbumbu..yaan amekaa kifala hana changamoto ya maisha hajui kujiongeza nk.
Kuhusu la umri kuenda na ulokole inategemeana sijalijua sana.Labda wanahis wana mapepo yakitolewa wataolewa.
Sure sio wote tabia zinatofautiana mno.Wengine hizo drama zipo kando!hahah
Yaan Mungu wa ajabu sana. Yanayosemwa humu kuhusu wanawake yanathibitishwa na wanawake wenyewe.
Kama mnahitaj attention kwann hampend kutoa attention kwa wanaume??
Umesema unakuta bad boy ndiye anajua kutafta pesa ndo unampenda. Kwa hyo unatuambia kuwa mtu akiwa na pesa hata kama humpend utakuwa naye tu??
Galz are too materialist leo kweli nimeamini.na cjui nani aliwadanganya pesa ndio kila kitu
Mungu awasaidie
Cha msingi unapo mbaini mwanamke aliyekupenda na ukabahatika kumuoa unatakiwa uwahi kumnyoosha mapema Kwenye "reli" kabla yeye yajakuwahi.
Endapo atakuwahi yeye MTU mzima Utakuja kulia kilio cha "mbwa mwizi" mbele ya safari.
ONYO:-mwanaume Ukionyesha dalili zifuatazo, lazima mwanamke "akunyee kwenye Kichwa"
1.Kumbabaikia sana Kama vile hakuna wengine wazuri zaidi yake hapa duniani.
2.ulimbukeni wa mapenzi--utafikiri "papuchi" yake ndio ya kwanza kui "do"/umeanzia mapenzi ukubwani.
3.kujichekesha -chekesha ki..nge -ki..nge Mbele yake--- badala ya kumchukulia hatua Kali za kinidhamu ikiwemo "kipondo cha mbwa mwizi" pale anapofanya kosa kubwa/dogo au kushindwa kutekeleza/kukaidi maagizo.
4.wivu wa kijinga
NB:-unaweza kuongeza zako......................
Ila msipige wake zenu bwanaa!Hahaha upooo sahihi kaka!!!!!
Hivi viumbe!![emoji2][emoji2]
Bilaa kupigaa hawaendii Hawa mkuu!!!!!!Ila msipige wake zenu bwanaa!
Bilaa kupigaa hawaendii Hawa mkuu!!!!!!
hamna mkuu mwanamke hapigwi usiamini ktk kupiga kuwa ndio atabadilika kwanza wao wenyew wameathirika kipsychologyBilaa kupigaa hawaendii Hawa mkuu!!!!!!
Ww unapenda wazuri au waguKakae umegeneralise mno wanawake sio wote wenye hizi tabia!
Swali la kwanza nitalijibu kama ifuatavyo..chuki inaweza kutokea kama udhaifu kama unavyojua in nature wanawake tunahitaji attention sana so ikitokea unajionesha kwa mtu unampenda alafu yy anakuchukulia poa lazma chuki itokee tu.Huo ni udhaifu wetu wengi
Swali namba mbili mhh navyoona pia ni mapungufu ya kibinadam na ipo kwa wote..wengi wetu hupenda mabaya yawatokee watu tunaochukia..na ikitokea ndivyo sivyo tunaumia
Swali la tatu hahah mitego na kujishebedua ni nature ya mwanamke yeyote pale anapomseduce mwanaume!sidhani kama kuna ubaya wowote na wengi wao wakitegwa wanabana eh mwishowe wanaachia.Power of Pussy[emoji23]
Swali la nne wengi wetu tunapenda taratibu taratibu na pia tunakua na waswas na maamuz yetu ya kutokujiamini.Ukiwa karibu na anayekupiga sound unaeza ukawa unajifeel haumtaki ila akiondoka sasa ndo unaanza kumkumbuka kwa kasi atii.
Swali la mwisho yategemeana na mtu na mtu..kila mwanamke ana taste yake usiwahau kuna ambao wanapenda wanaume wazur wa sura au masharobaro but kuna wengine wanapenda wanaume wagumu.Ilo la tabia mbay na nzuri ipo hivi unaweza ukakuta libad boy ndo linajua kutafuta pesa.But mwenye tabia nzuri very mbumbumbu..yaan amekaa kifala hana changamoto ya maisha hajui kujiongeza nk.
Kuhusu la umri kuenda na ulokole inategemeana sijalijua sana.Labda wanahis wana mapepo yakitolewa wataolewa.
Ww unapenda wazuri au wagu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] how mkuuIla twende mbele turudi nyuma mapenzi ni kitu kimoja cha ajabu sana, unaweza data kwa mapenzi mpaka ukaamua kuitisha press conference.
Hatuwasemi,Acheni au punguzeni kuwasema wanawake bhana.... [emoji16] [emoji95] [emoji379]