Mwaswali kuhusu saikolojia ya mwanamke

Mwaswali kuhusu saikolojia ya mwanamke

1526360_4518265.jpeg
 
Mwanamke anaongozwa na Emotions na Mwanaume anaongozwa na logic katika mapenzi,Mwanamke anafanya vitu jinsi anavyo feel kufanya na Mwanaume anafanya vitu kwa ku reason kwenye mapenzi,ndio maana ni vigumu kuwaelewa wanawake katika mapenzi coz wanafanya vitu bila kutumia logic lakini wao wanaona wako sawa tu,kwa. ufupi unatakiwa uwaelewe wanawake wana matatizo mengi katika mapenzi na uwachukulie hivyo hivyo coz hata wao wanafanya vitu vingine baadae wanashindwa kuelewa kwa nini walifanya hivyo?ina maana kuna wakati kuna vitu vinawasukuma kufanya vitu hata wao wasivyo vipenda!,ndio maana wataalamu wa saikolojia wanasema wanawake hawajui wanataka nni?
Fact
 
huyu wangu ni mchumba tu kaniaga vyema asubh anaenda mbezi mpaka usiku huu hajarud na sm imezimwa kwangu ni maajabu sababu siamin kama niyeye
 
Mungu mwenyewe Kawaambia Ishini nao kwa akili coz anajua ni undefined sasa ije kua wewe kuuliza hayo, jibu utapata kwakweli
Siku hizi hata wanaume ni watu wa kuishi nap kwa akili ukizubaa unachapiwa
 
Back
Top Bottom