Mwarabu wa Loliondo: Challenge to TCRA

Mkuu TCRA, Nina Ushauri/ Wazo ambalo mie naona ni la Mbolea sana kuhusu Digitally.Kwa nini Msi Regulate tukawa na Ving'amuzi Universal na Smart Cards tofaut tofaut, Mtu hatalazimika Kumiliki Zaid ya King;amuzi Kimoja, unakuwa na Decoder Moja ambayo ina accept Smart Card tofaut tofaut zinazomilikiwa na Vendor tofaut kama vile Star Times etc etc.Siku Nikienda China, nanunua Decoder nikiileta Tanzania iwe inapiga Mzigo kama kawa, ni kama vile Simu, Operator anamiliki SIM Card, lakini Handset ni Chaguo la Mteja.Hili linawezekana sana Wakuu
 
Last edited by a moderator:
Lakini yanamwisho. mwache huyu dhaifu-fast jet aendelee kukenua mimeno yake yanamwisho haya na malipo ni hapa hapa duniani Mungu ibariki Tanzania.
 

mkuu hoja yako ni ya msingi kabisa. Ningeomba TCRA waje na Majibu ktika hili.
 
Mwambojoke nimepaliwa adi na gonja hapa hii avatar yako aseee
 
Loliondo ni extension of Arab Empire tofauti tu kidogo ni kwamba kuna polisi wa Tanzania wanalinda na kufanya doria kuzuia Watu wasio takiwa hasa watanzania kuingia huko walipo waharabu. Kitu kama mawasiliano ya simu ni kawaida sana na TCRA walizuia ili lisitumike lakini tena limerudia juzi tu. Tarehe nilikuwa Kijiji cha Ololosokwan na nilikaribishwa na mtandao wa UAE kama vile nipo Dubai. Niliondoka kwenda mbali na niliporudi tena mtandao ukanikaribisha: welcome back. Watu wanashindwa kutoa taarifa kwa sababu wengi hawafahamu kama ni kinyume cha sheria na pia hawaoni tofauti ya sheria hii kuvunjwa na mwarabu wakati nyingine nyingi zinavunjwa kama kuingiza magari na namba za usajili za Dubai, nk
 

Hata wewe unahitaji kuelimishwa upya, alivyozungumza ndugu sawasawa. Ungeandika Mwekezaji, ama ungeandika jina lake, lakini ulitaka kuonesha chuki zako dhidi ua mwarabu ndio maana ukaandika Race yake. Mnakaa mnalalamika kinafiq tu, hii ishu ya loliondo yore ni kwa sababu amekaa mtu mwenye Race ambayo mnaichukia, lakini angekuwa Bwana wenu Mzungu mngejadili siku 2 tu kisha mkapotezea.

Maswali ya nyongeza sasa kwako na kwa wenzako;

-hivi hii ishu ya loliondo imeanza toka lini?
-hawa wabunge wenu wa chadema wamelizungumziaje hili bungeni?
 

c.c: TCRA
 
Last edited by a moderator:
Another Idiot
 
Swali la kizushi tu: je kati ya TCRA yetu na Mwarabu wa Loliondo (Afsat) ni yupi amilikiye mwingine hadi hivi sasa mambo yanavyoendeshwa kimawasiliano nchini mwetu??????????????????
 

Mkuu kindly read again your previous post that have been criticized by majority of members. I am certain you will acknowledge that it didn't reflect what you have commented here. If this was your intention in that post then you slipped somewhere in your rhetoric. Neither of us is intelligent nor smart than another but we have to stand as a unit when it comes to National issues. Unfortunately, the current practice doesn't support this line of thinking but better late than never..........
 
Swali la kizushi tu: je kati ya TCRA yetu na Mwarabu wa Loliondo (Afsat) ni yupi amilikiye mwingine hadi hivi sasa mambo yanavyoendeshwa kimawasiliano nchini mwetu??????????????????
πŸ™„πŸ™„πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…