Mwarabu kanipa pk...

Mwarabu kanipa pk...

Benjonathantz

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
237
Reaction score
52
Habari za Leo Wadau!!
Ni Imani yangu muwazima wa Afya.

Naomba kabla ya kuueleza mkasa huu.. Ngoja nikukumbushe msemo mmoja tulioambiwa tukiwa watoto wadogo. Msemo huo unasema "Usipokee kitu upewacho barabarani na mtu usiye mjua"
Naamini kwa namna yoyote ile wazazi/walezi wamekuwa na bidii kutuhimiza juu ya hili hasa kipindi tulipokuwa wadogo.

Trela imeishia hapo......
Action...
Mkanda unaanza hivyooo...

Tarehe 26 April 2014 Majira ya saa kumi kasoro jioni Nilikuwa maeneo ya Maweni-Tanga (Karibu na kiwanda cha siment) Nikiwa na subiria usafiri. Eneo hili halina makazi ya watu kitendo kilichopelekea mtaa huu kuwa mkimnya sana ukiacha kelele za magari.

Nikiwa nimesimama, Nikisubiria Usafiri wa gari kwa ajili ya kurejea wilayani lushoto (Kazini/Nyumbani) baada ya mapumziko ya Muungano (Sijui kuna muungano?) >Mghmm Tuyaaache hayo..

Ghafla daladala iliyokuwa ikitokea stand kuelekea pongwe ikasimama. Nikamshuhudia mwarabu mmoja akishuka kutoka dalalani.

Moja kwa moja alinifuata pale nilipokuwa nimesimama akaanza kuniuliza maswali kwa mfululizo wake.

Swali la kwanza aliniuliza kwa kingereza maana alionekana kutokufahamu kiswahili.

>Are you a student
Nikamjibu
>No,

Nalihisi aliuliza swali hili kwa sababu aliniona katika maeneo ya karibu na Kiwanda. Akahisi labda nimeenda kufanya research. Kumbe mwanaume ndo nimetoka out hivyo.

Akatamani kuzungumza na mimi (Nilihisi hivyo kulingana na muonekano wake.) Lakini maskini kingereza kilimwishia maana alianza kuniongelesha kiarabu. Mwanaume nikajikongoja "Asalam aleikum". (Chumvi)

Tukashindwa kuelewana ikabidi akae kimnya. Baada ya muda alitoa PK mbili moja alinipa na nyingine aliifungua na kuanza kutafuna.

Si kuwa na haraka, Niliendelea kuishika mkononi kwa Muda mrefu sana nikiwa najilaumu kwa nini niliipokea. Kwani anaweza akahisi jamaa lina shida kumbe mwanaume niko njema..

Baada ya muda kidogo Mwarabu alianza kuondoka kishingo upande hadi akapotea kwa mbali kwenye Barabara ya lami.
Nikiwa nimeshika PK jua likiendelea kuiunguza ardhi ghafla akaja mwarabu mwingine pale nilipo kuwa. nilishtuka kiasi flani kwa sababu alikuja na kunitazama kupitiliza bila kuniongelesha jambo lolote. Akiitazama PK ambayo nilijiapia moyoni kuto kuila.

Na yeye pia akaondoka zake. Kuelekea kule alikoenda yule wa kwanza.

Niliyowaza kichwani
"Nilihisi kulikuwa na connection ya kipepo kati ya mwarabu wa kwanza na wa pili naLengo lao lilikuwa ni kuhakikisha nakula PK ili wanichukue kirahisi."

Si kula PK na niliitupa, Kama huamini twende nikakuonyeshe.

"Si kila chakula ni chakula, kuna Vyakula si vyakula. KUWA MACHO."
 
Waarabu tena!

Tungesimama kwa dakika moja kuomboleza marinda yako ambayo yangepotea!!
 
Pk ni nini?

wrigleys-pk_blue_chewing_gum-14g_.jpg
 
Habari za Leo Wadau!!
Ni Imani yangu muwazima wa Afya.

Naomba kabla ya kuueleza mkasa huu.. Ngoja nikukumbushe msemo mmoja tulioambiwa tukiwa watoto wadogo. Msemo huo unasema "Usipokee kitu upewacho barabarani na mtu usiye mjua"
Naamini kwa namna yoyote ile wazazi/walezi wamekuwa na bidii kutuhimiza juu ya hili hasa kipindi tulipokuwa wadogo.

Trela imeishia hapo......
Action...
Mkanda unaanza hivyooo...

Tarehe 26 April 2014 Majira ya saa kumi kasoro jioni Nilikuwa maeneo ya Maweni-Tanga (Karibu na kiwanda cha simenf) Nikiwa na subiria usafiri. Eneo hili halina makazi ya watu kitendo kilichopelekea mtaa huu kuwa mkimnya sana ukiacha kelele za magari.

Nikiwa nimesimama, Nikisubiria Usafiri wa gari kwa ajili ya kurejea wilayani lushoto (Kazini/Nyumbani) baada ya mapumziko ya Muungano (Sijui kuna muungano?) >Mghmm Tuyaaache hayo..

Ghafla daladala iliyokuwa ikitokea stand kuelekea pongwe ikasimama. Nikamshuhudia mwarabu mmoja akishuka kutoka dalalani.

Moja kwa moja alinifuata pale nilipokuwa nimesimama akaanza kuniuliza maswali kwa mfululizo wake.

Swali la kwanza aliniuliza kwa kingereza maana alionekana kutokufahamu kiswahili.

>Are you a student
Nikamjibu
>No,

Nahisi aliuliza swali hili kwa sababu aliniona katika maeneo ya karibu na Kiwanda. Akahisi labda nimeenda kufanya research. Kumbe mwanaume ndo nimetoka out hivyo.

Akatamani kuzungumza na mimi (Nilihisi hivyo kulingana na muonekano wake.) Lakini maskini kingereza kilimwishia maana alianza kuniongelesha kiarabu. Mwanaume nikajikongoja "Asalam aleikum". (Chumvi)

Tukashindwa kuelewana ikabidi akae kimnya. Baada ya muda alitoa PK mbili moja alinipa na nyingine aliifungua na kuanza kutafuna.

Si kuwa na haraka, Niliendelea kuishika mkononi kwa Muda mrefu sana nikiwa najilaumu kwa nini niliipokea. Kwani anaweza akahisi jamaa lina shida kumbe mwanaume niko njema..

Baada ya muda kidogo Mwarabu alianza kuondoka kishingo upande hadi akapotea kwa mbali kwenye Barabara ya lami.
Nikiwa nimeshika PK jua likiendelea kuiunguza ardhi ghafla akaja mwarabu mwingine pale nilipo kuwa. nilishtuka kiasi flani kwa sababu alikuja na kunitazama kupitiliza bila kuniongelesha jambo lolote. Akiitazama PK ambayo nilijiapia moyoni kuto kuila.

Na yeye pia akaondoka zake. Kuelekea kule alikoenda yule wa kwanza.

Niliyowaza kichwani
"Nilihisi kulikuwa na connection ya kipepo kati ya mwarabu wa kwanza na wa pili naLengo lao lilikuwa ni kuhakikisha nakula PK ili wanichukue kirahisi."

Si kula PK na niliitupa, Kama huamini twende nikakuonyeshe.

"Si kila chakula ni chakula, kuna Vyakula si vyakula. KUWA MACHO."

shenzi zao walitaka wakufanye chakula
 
Hapo kuna ka pori flani upande wa magereza. ungekula PK ugeitwa mwali.
 
Mkuu naona huyo mwaarabu alikuwona kama omba omba na uko pekee yako na ndio hapo akaona baro akupe hiyo p k koliko kukupa pesa maana akikupa pesa basi hapo tena ni chibuku na hasa sehemu za ibada utatuwona sisi waswahili namna tunavo jitoa thamani kwa wahindi na waarabu na machina kwa kuwomba omba tena wala hatuwoni haya na tunatia aibu sana na yote haya ni uvivu tuu basi
 
Eti ee??
 
Bora niondoke nsije pigwa maana comment zote zimenichefua nsijepigwa ban bureeee.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hahahah yani wangekupa show tym ya uhakika bila hata yale mafuta ya ky!mhh
 
Back
Top Bottom