tunda la mti wa katikati hivi lilikuwa tunda kweli
lile walilokula Adam na Hawa!Aina Gani la Tunda!!
Kumbe Adam na Eva walikuwa wazungu?
Hapo ndio wazungu walipotuzidi akili.Kitu chochote kizuri kinachorwa rangi ya mzungu.Kibaya kinakuwa rangi ya mwafrika.Anagalia shetani , linachorwa jitu baya jeusi,lakini malaika mzuri mweupe.
Hawa jamaa waliishaturoga kitaambo.