Mkuu unamawazo sana aisee!!!
Ya kweli hayo?
Naunga mkono hoja....hiyo picha ni ya uongo kwa haya yafuatayo:
hawakuwa wamevaa chochote kabla ya kula tunda
hawakuwa wote Adam na eva wakat wanadanganywa
nyoka alikuwa na miguu kabla ya wao kula
mchoraji hana lolote ni hewa kibiblia, achore tena
Huyu atakuwa shetani wa kiafrika, tuwekee na wa kizungu...Huyu hapa ni shetani
![]()
Defend or die nimecheka kama mwehu...unakichaa mkuu
tunda la mti wa katikati hivi lilikuwa tunda kweli
Ngoja nikale tunda langu sasa hivi!