Mwanzo wa Dhambi.

Mwanzo wa Dhambi.

hiyo picha ni ya uongo kwa haya yafuatayo:
hawakuwa wamevaa chochote kabla ya kula tunda
hawakuwa wote Adam na eva wakat wanadanganywa
nyoka alikuwa na miguu kabla ya wao kula
mchoraji hana lolote ni hewa kibiblia, achore tena

Kwa ku base kwenye hii nadharia yako nyabhingi inabidi akubali tu kuwa inawezekana pia nyoka kipindi hicho alikua akiongea!
 
Back
Top Bottom