JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,309
- 5,464
Wewe unajua hata meli inajengwaje?Duuh! Mbona hii meli inatisha sana muonekano wa kizamani sana.
Inanikumbusha ile Sinema ya Safina ya Nabii Nuhu.Wewe unajua hata meli inajengwaje?
Hiyo ni Frame tu,bado kazi unaendelea.
Wasomi wetu kazi yao ni kuisimanga Royal Tour tu.MTAKUJA KUJENGEWA MELI MUOGO MZAME NAYO KWA UTAHIRA WENU..!
MIAKA 6O YA UHURU HAMNA MAINGINIA WA KUJRLENGA MELI.
Yote hii ni sababu usimamizi wa serikali ya Samia kulegalega kwenye usimamizi wa miradi hii mikubwa ya kimkakati.View attachment 2215225
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Meli ya MV. Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ na kubaini ukiukwaji wa makubaliano ya kimkataba ya ikiwa ni pamoja na Kampuni ya Korea ya Gas Entec Building Engineering iliyo na jukumu la kujenga meli hiyo kuuza sehemu ya jukumu la ujenzi kwa kampuni nyingine.
Hali hiyo imesababisha ujenzi kukomea katika kiwango cha 65% badala ya 95% kwa mujibu wa makubaliano ya muda wa kukamilisha ujenzi wa Meli.
Aidha, inadaiwa kampuni hiyo imepunguza Wafanyakazi kutoka 118 hadi kubakia 22 hali inayosababisha ujenzi wa Meli kutokamilika kwa wakati ambapo Serikali tayari imelipa fedha kwa asilimia 80 hadi sasa.
Waziri Mkuu baada ya kubaini mapungufu hayo ameagiza Uhamiaji Mkoa wa Mwanza kuzuia kwa muda hati za kusafiria za raia saba wa Korea Kusini wanaojenga Meli hiyo na kuagiza wasiondoke nchini hadi wakamilishe ujenzi wa Meli ya MV. Mwanza.
Ujenzi wa Meli ya MV. Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ utagharimu zaidi ya bilioni 97.5 za Kitanzania.
View attachment 2215226
Akili yako inalingana na ulichokiandika!MTAKUJA KUJENGEWA MELI MUOGO MZAME NAYO KWA UTAHIRA WENU..!
MIAKA 6O YA UHURU HAMNA MAINGINIA WA KUJRLENGA MELI.
Kama titanic hahaInanikumbusha ile Sinema ya Safina ya Nabii Nuhu.
HahahahMTAKUJA KUJENGEWA MELI MUOGO MZAME NAYO KWA UTAHIRA WENU..!
MIAKA 6O YA UHURU HAMNA MAINGINIA WA KUJRLENGA MELI.
halafu bilioni 97! Sukuma gang Mungu anawaonaDuuh! Mbona hii meli inatisha sana muonekano wa kizamani sana.
Uyo jamaa akiongea jambo, Kaa nalo kwanza lifanyie utafiti. MWANZO ktk jitihada za kufuta legacy walikatisha malipo yote na hd vibarua walifukuzwa.View attachment 2215225
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Meli ya MV. Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ na kubaini ukiukwaji wa makubaliano ya kimkataba ya ikiwa ni pamoja na Kampuni ya Korea ya Gas Entec Building Engineering iliyo na jukumu la kujenga meli hiyo kuuza sehemu ya jukumu la ujenzi kwa kampuni nyingine.
Hali hiyo imesababisha ujenzi kukomea katika kiwango cha 65% badala ya 95% kwa mujibu wa makubaliano ya muda wa kukamilisha ujenzi wa Meli.
Aidha, inadaiwa kampuni hiyo imepunguza Wafanyakazi kutoka 118 hadi kubakia 22 hali inayosababisha ujenzi wa Meli kutokamilika kwa wakati ambapo Serikali tayari imelipa fedha kwa asilimia 80 hadi sasa.
Waziri Mkuu baada ya kubaini mapungufu hayo ameagiza Uhamiaji Mkoa wa Mwanza kuzuia kwa muda hati za kusafiria za raia saba wa Korea Kusini wanaojenga Meli hiyo na kuagiza wasiondoke nchini hadi wakamilishe ujenzi wa Meli ya MV. Mwanza.
Ujenzi wa Meli ya MV. Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ utagharimu zaidi ya bilioni 97.5 za Kitanzania.
View attachment 2215226
ID yako tu ,kaka yangu.Umenifurahisha.Nitajadili mada baadaeView attachment 2215225

Hapana.Wasomi wetu kazi yao ni kuisimanga Royal Tour tu.
Haiingii akilini kabisa, kontracta afanye alivyofanya bila kuwepo na sababu ya kufanya alichofanya.Uyo jamaa akiongea jambo, Kaa nalo kwanza lifanyie utafiti. MWANZO ktk jitihada za kufuta legacy walikatisha malipo yote na hd vibarua walifukuzwa.