Tuwekee mifano hai ya hao wanafunzi ambao hawajaqualify kusoma medicine na matokeo yao.chuo kuna wanafunzi wamepachikwa tu not qualified to study medicine
Duuh!A toy car with mass 1.5 kg starts from rest and takes 8 seconds to reaches constant velocity of 30m/s before it hit the wall, calculate the force of the impact
TCU guide book inasemaje kuhusu vigezo vya kusoma udaktari?Faragha za watu hizo mkuu ila wapo wengi sana mtu ana division 2 wanachukua sijajua wanafanyaje ad anadahiliwa
F=ma; a=v/tA toy car with mass 1.5 kg starts from rest and takes 8 seconds to reaches constant velocity of 30m/s before it hit the wall, calculate the force of the impact
Sema they cannot win a spot at prestigious schools! Minimum entry qualifications unazijua?Faragha za watu hizo mkuu ila wapo wengi sana mtu ana division 2 wanachukua sijajua wanafanyaje ad anadahiliwa
Force= Rate of change of momentum= M( v2-v1)/tA toy car with mass 1.5 kg starts from rest and takes 8 seconds to reaches constant velocity of 30m/s before it hit the wall, calculate the force of the impact
F=ma; a=v/t
F=1.5kg*30/8ms^-2
=5.625kgms^-2
=5.625N
Now calculate the change in momentumForce= Rate of change of momentum= M( v2-v1)/t
Now calculate the change in momentum
Ungekuwa unazijua minimum entry requirements usingesema wanafunzi wenye division 2 hawana qualification ya kudahiliwa kusoma MD!Sasa nitaanzisha kitu ambacho sikijui
hahaa mkuu tz kuna prestigious schools?Sema they cannot win a spot at prestigious schools! Minimum entry qualifications unazijua?
Kumbuka, hata kwenye nchi masikini kuna tajiri. Vilevile, hata kwenye darasa la vilaza watupu kuna best student!hahaa mkuu tz kuna prestigious schools?
Huo udaktari wawapi lbd udaktari vyuo vya serikali ni division 1 ya 3 hadi 6 saba labda wakuhurumie tu sasa wewe unaposema div 2 asome MD degree nayo ijua mimi haiwezekani lbd utafutilize vyuo vya uchocholoni huku km hivi vya MZTCU guide book inasemaje kuhusu vigezo vya kusoma udaktari?
Halafu nani kakwambia ukiwa na Division 2 ustahili kusoma udaktari?
Somo la leoRate of change in Momentum = 15(30-0)/8
Huo udaktari wawapi lbd udaktari vyuo vya serikali ni division 1 ya 3 hadi 6 saba labda wakuhurumie tu sasa wewe unaposema div 2 asome MD degree nayo ijua mimi haiwezekani lbd utafutilize vyuo vya uchocholoni huku km hivi vya MZ