Mwanza: The Cask yawaka moto

Washamba hao mi namjua jamaa kitambo na alikuwa anaendesha club pale mwanza new hotel. wakati ikimilikiwa na gachuma.
Alikuwa na rasta huyo jamaa halafu alikuwa mtata Sana.
Kwani Gachuma sio mmiliki Tena wa Mwanza hotel?
 

Ndio ameoa mchina pia?
 
Sema wadau zake muhimu lazima atawadai
Ila ss wapita njia ndy hvyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kufa kufaana hyo
Ila Pole muhimu

Ova
Wapita njia anawaamini vipi? Au ulikuwa una kidemu hapo mkuu kinakuamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…